Neggirl anusurika katika Ajali ya gari.

Neggirl anusurika katika Ajali ya gari.

Duh... Pole sana Neggirl, Mwenyezi Mungu Mkubwa na ashukuriwe mmeweza kupona. Karibu tena Dear.
 
Poleni ila mkae mkijua Mungu bado anamakusudi na nyinyi, bado anawapa muda wa kujichunguza na kutafakari. Hii ni fundisho kwetu wote, tunapaswa kujiweka tayari wakati wote kwa kutenda sawasawa na Mungu anavyotaka kwa kumkubali kuwa Bwana na Muokozi wa maisha yetu.
 
Pole sana
Pamoja na kuomba, kufunga mikanda muhimu
Na kama una mtoto mdogo kile kiti cha mtoto ni muhimu pia.
 
Pole sana. shukuru uzima upo, maisha yanasonga. By the way, chanzo cha ajali ni nini?
 
I bet wewe ndo ulikuwa unaendesha....:smile-big:
 
Pole sana
Pamoja na kuomba, kufunga mikanda muhimu
Na kama una mtoto mdogo kile kiti cha mtoto ni muhimu pia.

Asante Kongosho.. Mikanda tulifunga na ilitusaidia kwa kweli..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom