Neema Mwandamila asema bungeni ni kuzuri, kutoka unaweza kutamani kutoa roho ya mtu

Kukaa tuu kwenye kiti unapiga makofi au kuongea dakika zako mbili pesa inaingia.....guaranteed for five years no stress unavuta pesa lazima useme kutamu
 
Vyama vipi vingi tu kwani ccm ina sifa gani zaidi ya wizi tu?
Mi nimekuuliza chama gani wewe unanijibu vyama vipo vingi! Kwa hiyo utaweka vyama vyote vingi vishike Dola!? Najua vyama vipo vingi! Swali je ukisha itowa CCM utaweka Chama gani kishike Dola!? Tuanzie hapo kwanza!!
 
Mi nimekuuliza chama gani wwe unanijibu vyama vipo vingi! Kwa hiyo utaweka vyama vyote vingi vishike Dola!? Najua vyama vipo vingi! Swali je ukisha itowa CCM utaweka Chama gani kishike Dola!? Tuanzie hapo kwanza!!
Ccm ni majizi tu
 
Duuh aisee hii kauli itamcost baadaye inaweza kuwa wakati wa kampeni akafa ndugu yake wa karibu au mzazi. Wakamletee hiyo clip atashangaa dunia isivyo na huruma, wakamwambia wewe ndiye umemtoa kafara ili upite,umakini unahitajika mahali popote unapotoa kauli hasa miaka hii ya technologia.
Hahahaaaa...... Wewe unadhani mjengoni wanaingia kirahisi?

Alichotuhabarisha huyo mbunge ndio ukweli wenyewe kama unabisha tafuta clip ya mahojiano ya Salama Jabir na Babu Tale!
 
Duuh aisee hii kauli itamcost baadaye inaweza kuwa wakati wa kampeni akafa ndugu yake wa karibu au mzazi. Wakamletee hiyo clip atashangaa dunia isivyo na huruma, wakamwambia wewe ndiye umemtoa kafara ili upite,umakini unahitajika mahali popote unapotoa kauli hasa miaka hii ya technologia.
Possible kabisa. Wanasiasa ni wapumbavu sana sometimes
 
Saint Anna unawezaje kusema ccm ilishinda kwa kishindo wakapeana viti viwili viwili maalumu????
Ccm ilishinda ama iliiba kwa nguvu 2020????
Acheni udanganyifu huu! Hata mtoto wa miaka mitano knows what took plce!!!
 
Kuiba kura na kushinda kura ni vitu viwili tofauti kabisa japo vinafanana.
 
Mwanasiasa ni fundi wa kugeuza maneno

Back
Top Bottom