Neema Mwandamila asema bungeni ni kuzuri, kutoka unaweza kutamani kutoa roho ya mtu

Duuh aisee hii kauli itamcost baadaye....inaweza kuwa wakati wa kampeni akafa ndugu yake wa karibu au mzazi.....wakamletee hiyo clip atashangaa dunia isivyo na huruma, wakamwambia wewe ndiye umemtoa kafara ili upite,umakini unahitajika mahali popote unapotoa kauli hasa miaka hii ya technologia
Umekosea kuisema, sasa ikitokea utakuwa ni wewe
 
View attachment 1697547
Msikilize muheshimiwa kaona bungeni kutamu sana...hapo kumtoa anaweza kutoa roho ya mtu kweli jamani.
Alichokisema ndiyo kilichomo kwenye mioyo ya wanaccm woooooote. Ndiyo maana wakati wa uchaguzi uvccm wanakata watu mapanga ovyo na kumwaga damu za watu wasiokuwa na hatia. Ilaaniwe CCM mpya.
FB_IMG_1591342478234.jpg
 
Duuh aisee hii kauli itamcost baadaye inaweza kuwa wakati wa kampeni akafa ndugu yake wa karibu au mzazi. Wakamletee hiyo clip atashangaa dunia isivyo na huruma, wakamwambia wewe ndiye umemtoa kafara ili upite,umakini unahitajika mahali popote unapotoa kauli hasa miaka hii ya technologia.
Wanachanganyikiwa maana 340,000 kwa siku bado 12M kwa mwezi
 
Kama babu tale katoa kafara Mke, iweje huyu mbibi ashindwe kutoa roho ya mtu?
 
Back
Top Bottom