Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,920
- 7,469
come on man, ngoja nikuelezee kiswahili utanielewa unaweza ukawa afisa wa TRA usielewe hili pia labda uwe mbishi kweli kweli.
interpretations n application ya Tax Laws ni parallel things, n most of our graduates lack this skill.
nilichokizungumza nilishasimama nacho kwenye Tax Appeals Board n Tribunal na TRA wakapoteza mzee.
fwatilia kw kiswahili nilichokuwa nikimaanisha:
1. unatakiwa ujue tofauti kati ya Contract for Service v/s Contract of Service
ktk kupunguza machungu ya rate kubwa ya kodi PAYE- Tz, makampuni mengi makubwa wanatunia hasa hawa wazungu as long wanamtu anaejua kucheza vizuri na sheria zetu za kodi na awe mhasibu mzuri wa DSA IFM IAA UDSM au Mzumbe
uyu bwana Rishab work permit yake imeanza Aug. 2018 as GM, n that permit can be fake as well iyo michezo ipo sana am 100% sure ukienda kwenye records za HR utakuta mkataba uliopo kati ya Rishab na GSM ni Contract for Service ambao wenyewe hauitaji kodi ya PAYE wala NSSF/PSPF contribution
na GSM walikuwa wakilipa WHT km kawa bila Rishab kujua kwan yey alichokua anajali ni 4K US$ 150K Transport 100k telephone 350US$ za Rent
sasa kw sheria zetu za kodi kwenye Contract for Service huyu Rishab ana kesi ya kujibu tena kubwa tuu; km we ni afisa wa kodi au unataka kufaham kodi soma vzr Tax Administration Act provisions read together with VAT Act 2014 n Regulations- Rishab ana kesi ya kujibu na hukumu ya kufungwa pia ipo kumbuka. Rishab will be personally accounted liable n sheria inampa GSM nafuu hzo ndio Tax Laws loopholes brother/madam
kukusanya kodi kwa kampuni yenye watu wazuri kiuwezo wa ku Interprate n Apply Tax Laws n International Financial Reporting Standards (IFRS) + International Accounting Standards (IASs) sio rahisi km unavyofikiria, muulize mentor wangu Prof. Luoga (BOT Governor) atakwambia
2. km GSM walimaanisha tax Avoidance kweli basi ujue iyo kodi ya 200USD ilishalipwa kitambo; coz walijipanga
na utaikuta mikataba halali kbs ya kujustify nasisi wazee wa Law’s School tumegonga mihuri yetu kwenye hizo Contract na original sign ya Rish Raj ikiwepo
N:B
kwa haya mafupi naomba yeyote anaeonewa kwenye hili kati ya GSM au Rishab anipe kazi kufa kufaana, ila GSM kuna mahala labda hawako sawa mnitafte pia private tuyajenge
Tax Avoidance sio dhambi kw sheria zetu za Kodi za Tanzania
Rish Raj Tax Avoidance sio issue as far Tz Tax Laws concerns
ila Tax Evasion ni msala
Plz GSM /Rish tutaftane Private message tuyajenge - hatupo jukwaani hapa kuuza chai tuu, napesa pia tunazitaka mazee
Tatizo unatengeneza mambo ambayo hayajawa presented hapa.
Hiyo contract aliyoweka hapa RAJ ukiisoma unaona ni contract for service au contract of service?
Sababu unataka kulazimisha kwamba kwenye file la HR kuna contract for service, why? ili umtishe huyu jamaa?
Sasa sikiza, hata kama ulienda huko kwenye tax appeal board na kukutana na scenario ya ukwepaji kodi wa namna hiyo na hao wajinga wakwepa kodi wakaambiwa wako sahihi, hao court members ni wajinga pia,
A mere classification of a contract as a contract for service does not make it one, hauwezi kuja kutuambia hapa kwamba mtu ambaye anasupervise day to day activities za biashara, anasupervise wafanyakazi wa mwajiri walio na contract of service, ana direct access na client wa mwajiri wake eti contract yake ni contract for service.