Need to launch complaint against GSM GROUP

Need to launch complaint against GSM GROUP

Kwa ujuzi alokuwa nao, hakupaswa kupewa u-GM, ila kapendelewa sana, kwa sababu wako watanzania wengi wako vizuri katika pande za fashion, isitoshe alikuwa anapokea mshahara mnono na posho za nyongeza, nyumba na gari pia ilikuwemo kwenye package yake. Amesababisha hasara kubwa sana katika maduka yao, na jamaa alikuwa anakula commission za kufa mtu, kila mauzo yanayotoka nje ya nchi alikuwa na chake cha juu, na ni mcheza kamari mkubwa sana, kamuacha mtoto nchi nyingine, mke nchi nyingine huku akila good time na vimada. Awashukuru hao GSM waliyombeba miaka yote hayo.
If the company gave him u-GM, it means that he has all the qualifications needed by the company.
 
You Indians use to kill Africans in your country for no good reason,we don't even posses lots of money but you hate us deadly. You don't even want us to enjoy your women's love just like you do to ours! What the hell are you complaining here poor boy, the work you use to do here can be done by Tanzanians,we need people with new ideas not you punk ass. We don't have time to discuss your disgusting matters go and play your stupid movies... one punch you fly into air like a kite ass mazafarcar
...hebu muacheni aeleze masahibu yaliyomkuta..usimuhukumu kwa makosa ya wahindi wenzake hio sio sawa....Suala la ajira ni maamuzi ya mwenye kampuni aajiri mtu wa namna gani...Na wewe fungua kampuni yako uajiri waafrika wenzako hakuna atakaekuuliza...
 
Tanzania court is for africans go take your case to asia,and what about having sex in the office toilet with workers,and giving them furniture which you stole.
Such funny statements do not change reality. I really feel sad for owner who has money sucker in his company.
 
I just want to get my dues which i deserve by law. Rest i am on way to finalise new assignment.
Is there anything personal between you and your boss Salah during your tenure at his office? Or, was you still his employee the day he came to your house mid night? Was there any unusual things during your time at GSM?
 
...hebu muacheni aeleze masahibu yaliyomkuta..usimuhukumu kwa makosa ya wahindi wenzake hio sio sawa....Suala la ajira ni maamuzi ya mwenye kampuni aajiri mtu wa namna gani...Na wewe fungua kampuni yako uajiri waafrika wenzako hakuna atakaekuuliza...
Nawewe acha nieleze yanayoniudhi pia anzisha kampuni lako uajiri wahindi uache waafrika wenzako maana inaonesha unawapenda sana. This is a free zone for opinions u give yos I give mine don't try to stop no one cold ass nigga! Hawa watu wanadharau sana they should not demand our respect. Nimewahi Fanya biashara nao wanatuona wajinga sana sht
 
Nadhani unapaswa kushukuru kwamba hawakukudhuru bali walikuacha ukipumua hivyo PAMBANA na hali yako huko huko kwenu India.

Uliwahi kuwatetea Wabongo wangapi waliokuwa wakilipwa elfu 70 wakati wewe Ukivuta Dollar 4,000/= bila expertism yoyote?

hujamsaidia bado ila umemsimange walio kusapoti hawana akili wewe ni mfanyakazi umeletwa kutoka india halafu uanze kutetea wafanyakazi mshahara mdogo yeye inamhusu nini wewe uliwahikuleta hoja humu ya kutetea ndugu zako hao wanao bishania mipira ya nje wakiwa kazini .akili za maboga
 
Now you are coming Mzee Baba... ni muda wa kumwaga ugali! Kumbe inakwepa na Kodi?
JIWE needs money to finance free education, GSM get ready for rumble.
Thank you sir, also i need to know contact person of TRA to talk some thing meaningful things which is related to tax evasion..
 
go your embassy and complain first go police open case than take paper to indian embassy
 
Huyo anahamu ya kurudi Tz maisha marahisi, amechoka kula dengu na kunde huko kwao, wakiwa Tz wanakula misosi mizuri sana na huwa hawatamani kurudi kwao. Ikitokea wanamrudisha atapiga magoti na kutoa kilio kikali.

Let justice be done though the world perish
 
Ila nadhani kuna kitu hakiko sawa
Maana huwezi fukuzwa tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom