Wewe stemcell, kama kweli ni mfanyikazi wa GSM, ama kweli uu mjinga na hujuwi repercussion ya hii action yako. Hutakiwi kulumbana na huyu mhindi hapa jukwani, kama kuna maelezo ya kikazi, you have to do them officially. It seems wewe ni wakutumwa tuu, unaidhalilisha kampuni yako.There is no balance left,you should contact hirsi or mohamed salah,all we have is 0 balance for you,and if you don't agree you can call president GSM.
Duh hapa inaonyesha GSM hawana uzoefu wa kuajiri wafanyikazi wazuri, this will always cause them a headache.