Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,644
ila piga ua nitanunua ile mipikipiki mikubwa niwe naondoka nalo masafa
Ha ha haaa!!! Angalia usije ukaharibu tu hayomaeneo ya kati kwa sababu ya sifa.
ila piga ua nitanunua ile mipikipiki mikubwa niwe naondoka nalo masafa
Mkuu umeshacheza....NEED FOR SPEED CARBON na NEED FOR SPEED RUN?
Nimecheza NFS za kutosha ila Most Wanted 2005 ni balaa yaani, nilicheza nilipofika final race nika disable AutoSave ili niwe narudia Final chase, hua na shika final Chase najipima kama bado naweza miliki ile BMW
Young master....mkuu hizi game mimi nimecheza mpaka majina.....mimi ninapopata game huwa napenda sana kufuatilia story ili nione mwisho wake....ila katika game ambayo nimecheza caborn ina story nzuri sana....kama umecheza caborn bila shaka utakuwa unamjua vizuri mtu mmoja anaitwa DARIUS na kitu chake cha AUDI REMAN QUATRO dah mkubwa ni nouma jamaa anapiga madrif mbaya....huo mziki wa AUDI REMAN QUATRO ni nouma ndinga inatembea mbaya
How old are you guyz
Nimecheza NFS za kutosha ila Most Wanted 2005 ni balaa yaani, nilicheza nilipofika final race nika disable AutoSave ili niwe narudia Final chase, hua na shika final Chase najipima kama bado naweza miliki ile BMW
mkuu nishakuadd tayari kama upo online nicheki nipo nw and lets raceSalaam wakuu,
Mambo niaje? Aisee nilikua sijawahi kujaribu hii game ya NFS world ila leo nimeijaribu naona ni tamu sana. Ila mbona ukijaribu kuchat na mtu hareply? Anyways add me : DONCIZAR and let's race.