Frank G
Senior Member
- Jan 1, 2013
- 168
- 40
Frank G, Most Wanted ipi? maana hii ya 2012 pumba tupu. ya zamani ndo ilikuwa game. mi nakubaliana na Young Master kuhusu hii Rivals. tena siku hizi hamna racing games za maana. (labda Forza, lakini nyie hamna Xbox kama mimi :heh🙂
am talking bout this one View attachment Rec007.bmp duh hii mpya hata cjaipenda mkuu kwan gari enyewe ukigongesha kidogo bac ishaaribika afu linachukua space kubwa kinouma halina uzuri wowote leh
Last edited by a moderator: