Moja kati ya game kali sana enzi hizo, nimeitafuta kwa siku 2 mfululizo bahati mbaya nashindwa kuipata ambayo inakubali ktk windows 10, sijajua nalosea ama vipi..
Je kuna mtu ambaye anayo hii game na anaicheza kwa sasa?
nfs 2 se, iko kompatibo na win xp, win 98 uko , haiwezi run kwa win vista kuja juu
fanya haya :
1. right click file husika la game, nenda kwenye properties, click compatibility tab, kwenye run, chagua win xp , then click okay....kama itakataa ku play
2. download nGlide 1.00 , ifungue dashboard yake, usi badili chochote then click 'apply' then play game yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.