NECTA yafyekelea mbali matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa baadhi ya shule za Kondoa, Kinondoni, Ubungo na Nyamagana

Hapa mnamsingizia. Mkurugenzi na mhusika mkuu haswa. Pengine anafahamu wazi kinachoendelea
 
Labda ma CD woooote Wa resign!!!

Wizi upo kila wilaya sema hao wengine wametolewa kafara.

Initiator wakuu ni hao hao ma "CD" coz nani anataka wilaya yake iwe ya mwisho.

Wiziii huu hata watoto wa darasa la pili C wanaujua kua upo miaka nenda miaka rudi
 
Mkuu una ushahidi kwamba wizi wa mitihani uko kila wilaya?
 
Issue ya kuoneshana mitihani shuleni usiichukulie kisiasa.
Mwisho utasema mwanafunzi akitiwa mimba mwenyekiti wa ulinzi na usalama awajibike!

Nadhani umeelewa kitu.
 
Unaelewa madhara ya walimu kujihusisha na wizi wa mitihani?
 
Tufike mahali viongozi wetu waache siasa na waanze kuwajibika. Wizi wa mitihani ni uhujumu wa uchumi na nilitegemea muda huu DC angekuwa pembeni kupisha uchunguzi lakini yeye ndio anawatumbua walimu wakuu!!!......anyway tusubiri tuuone mwisho! Source ITV habari.
Mkuu wa Wilaya anahusikaje hapa, vipo nyombo vya ulinzi na usalama vinavyohusika na kulinda mitihani. Hawezi wajibika kwa makosa ya vyombo hivyo kushindwa kutimiza wajibu wao.
 
Wewe unadhani kwanini Makonda anajenga ofisi za walimu?...... Kwanini anawasafirisha walimu bure kwenye daladala?
 
Wakuu kwema?

Mnaweza kutujuza alieshitukia mchezo mchafu uliofanywa na wasomi wetu kwenye mitihani ya darasa la 7?

Asante.
 
Kwa wasiojuwa kazi za maofisa wa usalama wa Taifa basi hizi ndio kazi zao, unaweza kuwaona kama mazoba tu lakini report zao ndio huwa zinazaa mambo haya.

Na mliopo kwenye taasisi za serikali ogopa sana ukiona you have new fella in ur office kaa naye makini wametawanywa wa kumwaga hasa BOT na TRA.
 
Moja kati ya shughuli nyepesi ya kiuchunguzi ni kujua kuhusu wizi wa mitihani. Ni vile serikali haikuwa na interest ya kuwashughulikia.
 
Kwa wasiojuwa kazi za maofisa wa usalama wa Taifa basi hizi ndio kazi zao, unaweza kuwaona kama mazoba tu lakini report zao ndio huwa zinazaa mambo haya.

Na mliopo kwenye taasisi za serikali ogopa sana ukiona you have new fella in ur office kaa naye makini wametawanywa wa kumwaga hasa BOT na TRA.
Afisa wa hayo mambo nitamgunduaje huko maoficini?

Muonekano wake ukoje?

Anaishije na watumishi wenzake?

Tabia zake zikoje mahara pa kazi?
 
Back
Top Bottom