NECTA na usumbufu wa kupata matokeo

NECTA na usumbufu wa kupata matokeo

Kweli hili ni bomu, wizara haina mtu WA IT aliye competent
Mpaka ninapoandika hapa web yao haifunguki.

Nadhani wanapaswa kuwa na watu special kwa it hasa kuhusu hii web yao.
Wanatia aibu sana.
 
Fanya fanya mambo basi mkuu PM bado sijaipata.
Sakila Secondary.
kwakuwa umetaka matokeo ya sakila sec na sio matokeo ya mwanafunzi husika basi huna budi kupewa matokeo yako kama ifuatavyo....

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2016 EXAMINATION RESULTS

S1484 SAKILA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 1; DIV-II = 5; DIV-III = 7; DIV-IV = 36; DIV-0 = 35
 
Mkuu ubarikiwe sana.
Mimi naomba matokeo ya shule mbili. S.1966 NA S.869
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2016 EXAMINATION RESULTS

S1966 MIBURANI DAY SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0; DIV-II = 5; DIV-III = 10; DIV-IV = 115; DIV-0 = 171

S0869 MBONI SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0; DIV-II = 3; DIV-III = 9; DIV-IV = 65; DIV-0 = 19
 
Asante mkuu.
 
Ndugu wanabodi, naomba kujitolea kuwapa matokeo yao wale wote ambao huko waliko wanashindwa kuyapata kwa haraka kutoka na mtandao husika wa NECTA kuzidiwa na watumiaji kwa sasa. Mimi nime ya download kabisa hapa . hivyo ni dakika sifuri tu nakupa matokeo yako kisha unajitathmini mwenyewe. Maana mpaka mtandao ukae sawa labda kesho au usiku mnene.
Wadogo zetu msiwaze sana kwani mlio wengi mmefaulu na wale ambao hawajafanikiwa kufaulu wajue kuwa kuna maisha baada ya shule.

Mahitaji muhimu ni : Jina la shule pamoja namba yako ya mtihani >
NB:Matokeo haya wametumia namba za mitihani kutoa matokeo , hivyo usijali kuwa utajulikana jina lako.
nitakutumia PM au hata ukitaka hapa hapa jukwaani.
GHARAMA: NI BURE KABISA. sihitaji hata namba yako ya simu wala e mail.
Karibuni tujuzane matokeo ya kidato cha nne 2016.[/QU
 
Karibuni tujuzane matokeo ya kidato cha nne 2016.
Nitumie ya MKUU SECONDARY. YOOOTE
 
Kwa hiyo unatamani ya zamani? Jifunze kwa waliofanikiwa acha kutukuza uduni
 
Back
Top Bottom