Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 92,421
- 112,075
Mtandao wenu hauko vizuri, wakati mwingine unafunguka na wakati haufunguki, jamani saidieni watu siyo mambo ya kutuma SMS to 15311 kwa shs 200 au mmeanzisha biashara jamani? saidieni watu.
Mimi natumia halotel ndiyo maana napata matokeo lakini wengi wanalalamika, je wale watoto wa kijijini ambao hata mb ni shida labda ameomba smartphone kwa jirani na akaweka mb za shs 500 si zitaisha bila kufanikiwa lengo lake? wasaidieni watoto wa watu.