NECTA na usumbufu wa kupata matokeo

NECTA na usumbufu wa kupata matokeo

Ndio maana kuna mdau alitoa wazo kwamna kabla ya mtu kujiunga na jf uilizwe maswali ya kupima ukomavu wa akili yake sasa ona mtoto kama huyu anachojua ni kukashifi jf ianze kuchunguza mienendo ya wanachama wake ikibidi baadhi waondolewe, hii siyo great thinker ya mwanzo maana vitoto vya miaka 12 vinanunua smartphone na vinajiunga na jf na mwisho wa siku jf itakuwa kama fb.
Naunga mkono hoja, jf ya ss Ni tofauti saana Na ya miaka mitano hadi sita iliyopita (though I was not a member), kwa kweli Kuna members wanauwezo Mdogo Sana wa kuanalyse mambo. Nafikiri members wanatakiwa fanyiwa screening before registration.
 
Mkuu naomba nisaidie matoke haya
Tanga technical secondary school
S.0156/0078
 
Umesema enzi zenu mkuu, hakukuwa na simu wala internet.

Alikuwepo Enzi hizo wewe haupo,upo enzi zenu naye yupo bado unajiona unajua Zaidi yake.Ameyaona ambayo hujawahi kuyaona,uliyoyaona yote kayaona.
 
Ndugu wanabodi, naomba kujitolea kuwapa matokeo yao wale wote ambao huko waliko wanashindwa kuyapata kwa haraka kutoka na mtandao husika wa NECTA kuzidiwa na watumiaji kwa sasa. Mimi nime ya download kabisa hapa . hivyo ni dakika sifuri tu nakupa matokeo yako kisha unajitathmini mwenyewe. Maana mpaka mtandao ukae sawa labda kesho au usiku mnene.
Wadogo zetu msiwaze sana kwani mlio wengi mmefaulu na wale ambao hawajafanikiwa kufaulu wajue kuwa kuna maisha baada ya shule.

Mahitaji muhimu ni : Jina la shule pamoja namba yako ya mtihani >
NB:Matokeo haya wametumia namba za mitihani kutoa matokeo , hivyo usijali kuwa utajulikana jina lako.
nitakutumia PM au hata ukitaka hapa hapa jukwaani.
GHARAMA: NI BURE KABISA. sihitaji hata namba yako ya simu wala e mail.
Karibuni tujuzane matokeo ya kidato cha nne 2016.
Nisaidie kumchekia mdogo wangu mkuu 0813/0038
 
Nitumie yashule ya Mudio Islamic. Ninahitaji overall!
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA


CSEE 2016 EXAMINATION RESULTS

S0825 MUDIO ISLAMIC SEMINARY

DIV-I = 5; DIV-II = 35; DIV-III = 36; DIV-IV = 3; DIV-0 = 0
 
Naomba matokeo ya kambangwa sec. School
S.1022/163
 
Back
Top Bottom