NECTA na usumbufu wa kupata matokeo

NECTA na usumbufu wa kupata matokeo

Ndio maana kuna mdau alitoa wazo kwamna kabla ya mtu kujiunga na jf uilizwe maswali ya kupima ukomavu wa akili yake sasa ona mtoto kama huyu anachojua ni kukashifi jf ianze kuchunguza mienendo ya wanachama wake ikibidi baadhi waondolewe, hii siyo great thinker ya mwanzo maana vitoto vya miaka 12 vinanunua smartphone na vinajiunga na jf na mwisho wa siku jf itakuwa kama fb.
Unadhani iliwekwa kwa ajili yako pekee?!!
 
Matokeo yalikuwa yanakwenda moja kwa moja shuleni au yachapishwe kwenye gazeti. Hatukulalamika kwa sababu sababu inaeleweka.
Sasa umeweka mb zako na pesa za mawazo hivi ukitegemea utafanya fasta. Badala ya kurahisisha mambo yamegumuishwa. INAKERA MNO
kama una hakika na bongo yako just subiri saa sita wakuda wakiwa offline we unaangalia division yako ya single digit
 
Mkuu kwa hali ya maisha ilivyo bado NGUMU KUMESA HALAFU UNAWAPIGA WAKATI MIMI NISHA SAIDIA WATU ZAID YA MIA MOJA KUPATA MATOKEO YAO (KWA KUTUMIA PIA PM) BILA HATA SENTI TANO, TUWE NA HURUMA MKUU. HAYA YOTE YANAPITA TU, HEBU ZINGATIA KALIWA 200 NA MATOKEO YAMEKAA VIBAYA SI ATAKUACHIA LAANA....
Mkuu nisaidie ya LULENGE na CALFONIA HILLS
 
Ndugu wanabodi, naomba kujitolea kuwapa matokeo yao wale wote ambao huko waliko wanashindwa kuyapata kwa haraka kutoka na mtandao husika wa NECTA kuzidiwa na watumiaji kwa sasa. Mimi nime ya download kabisa hapa . hivyo ni dakika sifuri tu nakupa matokeo yako kisha unajitathmini mwenyewe. Maana mpaka mtandao ukae sawa labda kesho au usiku mnene.
Wadogo zetu msiwaze sana kwani mlio wengi mmefaulu na wale ambao hawajafanikiwa kufaulu wajue kuwa kuna maisha baada ya shule.

Mahitaji muhimu ni : Jina la shule pamoja namba yako ya mtihani >
NB:Matokeo haya wametumia namba za mitihani kutoa matokeo , hivyo usijali kuwa utajulikana jina lako.
nitakutumia PM au hata ukitaka hapa hapa jukwaani.
GHARAMA: NI BURE KABISA. sihitaji hata namba yako ya simu wala e mail.
Karibuni tujuzane matokeo ya kidato cha nne 2016.
Mkuu naomba unisaidia s2044/145 iduda Sec school mbeya plz
 
Mm niliangalia kuanzia saa mbili ucku hadi saa nane ndo nikaona nikiwa na GB1 kwa sh 1000 kutoka Airtel kwa cku mbili lakini hao jamaa wanachanganya shule hata kupanga kwa alfabet wanashindwa!!
 
Au kwa nn wafipange majina ya shule kama yanaanzia na A shule zote zenye kuanza na A ziwe pale inayofuta B nazo ziende kwa mtiririko huo au kama hawawezi kupanga hivyo basi waweke program ya kuseach mbona rahisi kabisa hata mb zetu haztaisha ila hawa jamaa wa necta wana lao jambo
 
Back
Top Bottom