NECTA na usumbufu wa kupata matokeo

NECTA na usumbufu wa kupata matokeo

View attachment 465697

Mtandao wenu hauko vizuri, wakati mwingine unafunguka na wakati haufunguki, jamani saidieni watu siyo mambo ya kutuma SMS to 15311 kwa shs 200 au mmeanzisha biashara jamani? saidieni watu.

Mimi natumia halotel ndiyo maana napata matokeo lakini wengi wanalalamika, je wale watoto wa kijijini ambao hata mb ni shida labda ameomba smartphone kwa jirani na akaweka mb za shs 500 si zitaisha bila kufanikiwa lengo lake? wasaidieni watoto wa watu.
Yaani ni shida hata katika PC.
 
Ndugu wanabodi, naomba kujitolea kuwapa matokeo yao wale wote ambao huko waliko wanashindwa kuyapata kwa haraka kutoka na mtandao husika wa NECTA kuzidiwa na watumiaji kwa sasa. Mimi nime ya download kabisa hapa . hivyo ni dakika sifuri tu nakupa matokeo yako kisha unajitathmini mwenyewe. Maana mpaka mtandao ukae sawa labda kesho au usiku mnene.
Wadogo zetu msiwaze sana kwani mlio wengi mmefaulu na wale ambao hawajafanikiwa kufaulu wajue kuwa kuna maisha baada ya shule.

Mahitaji muhimu ni : Jina la shule pamoja namba yako ya mtihani >
NB:Matokeo haya wametumia namba za mitihani kutoa matokeo , hivyo usijali kuwa utajulikana jina lako.
nitakutumia PM au hata ukitaka hapa hapa jukwaani.
GHARAMA: NI BURE KABISA. sihitaji hata namba yako ya simu wala e mail.
Karibuni tujuzane matokeo ya kidato cha nne 2016.
S. 2114.0002 MTWIVILA SEC nisaidie boss kijana wangu huyu, niko mbali kidogo na mji.
 
Ndio maana kuna mdau alitoa wazo kwamna kabla ya mtu kujiunga na jf uilizwe maswali ya kupima ukomavu wa akili yake sasa ona mtoto kama huyu anachojua ni kukashifi jf ianze kuchunguza mienendo ya wanachama wake ikibidi baadhi waondolewe, hii siyo great thinker ya mwanzo maana vitoto vya miaka 12 vinanunua smartphone na vinajiunga na jf na mwisho wa siku jf itakuwa kama fb.
Ni kweli huyo mkuu amekosa busara hakupaswa kukuita lofa ila alitakiwa akuite zwazwa au k!laza maana unalinganisha dunia ya leo na ile ya mwaka1947
 
View attachment 465697

Mtandao wenu hauko vizuri, wakati mwingine unafunguka na wakati haufunguki, jamani saidieni watu siyo mambo ya kutuma SMS to 15311 kwa shs 200 au mmeanzisha biashara jamani? saidieni watu.

Mimi natumia halotel ndiyo maana napata matokeo lakini wengi wanalalamika, je wale watoto wa kijijini ambao hata mb ni shida labda ameomba smartphone kwa jirani na akaweka mb za shs 500 si zitaisha bila kufanikiwa lengo lake? wasaidieni watoto wa watu.
KUFICHA MATOKEO ILI YAWE SIRI NACHO NI KITUKO. HIVI SIRI NI NINI? WEKA HADHARANI ILI WADANGANYIFU WAJULIKANE WASIJEJINADI WALIFAULU SANA KUMBE UWONGO MTUPU.
 
Back
Top Bottom