NECTA na usumbufu wa kupata matokeo

NECTA na usumbufu wa kupata matokeo

Point ni kusema nertwork iko bize kutokana na jam ya watu zaid ya milion huko kutaka kuingia katika site moja kwa pamoja,
Ila suala la kusema sisi tulisubiri sijui wiki, hiyo ilikua wakati wenu ambapo masuala ya Kimtandao pengine hayakuwepo sana!!!
Hakika mkuu enzi yao haipo tena hata majiko ya gesi hayakuwepo.
 
ENZI ZETU TULISUBIRI MATOKEO WIKI NZIMA ILA HATUKULALAMIKA
Nakumbuka yalikua yanabandikwa majina ya walopata I,II,III. na hayo majina yameandikwa tu kwa peni, kama huoni jina lako mpaka mshahara utoke mwalimu mkuu akienda town atakuja ma matokeo.
 
Ndugu wanabodi, naomba kujitolea kuwapa matokeo yao wale wote ambao huko waliko wanashindwa kuyapata kwa haraka kutoka na mtandao husika wa NECTA kuzidiwa na watumiaji kwa sasa. Mimi nime ya download kabisa hapa . hivyo ni dakika sifuri tu nakupa matokeo yako kisha unajitathmini mwenyewe. Maana mpaka mtandao ukae sawa labda kesho au usiku mnene.
Wadogo zetu msiwaze sana kwani mlio wengi mmefaulu na wale ambao hawajafanikiwa kufaulu wajue kuwa kuna maisha baada ya shule.

Mahitaji muhimu ni : Jina la shule pamoja namba yako ya mtihani >
NB:Matokeo haya wametumia namba za mitihani kutoa matokeo , hivyo usijali kuwa utajulikana jina lako.
nitakutumia PM au hata ukitaka hapa hapa jukwaani.
GHARAMA: NI BURE KABISA. sihitaji hata namba yako ya simu wala e mail.
Karibuni tujuzane matokeo ya kidato cha nne 2016.
mkuu kama yako katika mfumo wa document naomba unitumie pm au unaweza kuattach hapa kwenye huu uzi tupakue
 
Wangetuma kwenye website za wakuu wa mikoa(R.E.O) kwanza ndiyo watangaze ya jumla, ingesaidia kupunguza workload kwenye website yao.
 
Ndugu wanabodi, naomba kujitolea kuwapa matokeo yao wale wote ambao huko waliko wanashindwa kuyapata kwa haraka kutoka na mtandao husika wa NECTA kuzidiwa na watumiaji kwa sasa. Mimi nime ya download kabisa hapa . hivyo ni dakika sifuri tu nakupa matokeo yako kisha unajitathmini mwenyewe. Maana mpaka mtandao ukae sawa labda kesho au usiku mnene.
Wadogo zetu msiwaze sana kwani mlio wengi mmefaulu na wale ambao hawajafanikiwa kufaulu wajue kuwa kuna maisha baada ya shule.

Mahitaji muhimu ni : Jina la shule pamoja namba yako ya mtihani >
NB:Matokeo haya wametumia namba za mitihani kutoa matokeo , hivyo usijali kuwa utajulikana jina lako.
nitakutumia PM au hata ukitaka hapa hapa jukwaani.
GHARAMA: NI BURE KABISA. sihitaji hata namba yako ya simu wala e mail.
Karibuni tujuzane matokeo ya kidato cha nne 2016.

NITUMIE PLS YA UBUNGO ISLAMIC HIGH SCHOL
 
Mkuu tafadhari naomba ya mamboya secondary, ipo kilosa hii shule..natanguliza shukrani
 
Taja mwanafunzi yupi...maana ya ujumla ni kama ifuatavyo>:

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2016 EXAMINATION RESULTS

S0671 UBUNGO ISLAMIC HIGH SCHOOL

DIV-I = 5; DIV-II = 30; DIV-III = 54; DIV-IV = 34; DIV-0 = 0
 
View attachment 465697

Mtandao wenu hauko vizuri, wakati mwingine unafunguka na wakati haufunguki, jamani saidieni watu siyo mambo ya kutuma SMS to 15311 kwa shs 200 au mmeanzisha biashara jamani? saidieni watu.

Mimi natumia halotel ndiyo maana napata matokeo lakini wengi wanalalamika, je wale watoto wa kijijini ambao hata mb ni shida labda ameomba smartphone kwa jirani na akaweka mb za shs 500 si zitaisha bila kufanikiwa lengo lake? wasaidieni watoto wa watu.
Mtandao upo vizuri mimi nimeangalia matokeo mpaka nimechoka
 
Ndio maana kuna mdau alitoa wazo kwamna kabla ya mtu kujiunga na jf uilizwe maswali ya kupima ukomavu wa akili yake sasa ona mtoto kama huyu anachojua ni kukashifi jf ianze kuchunguza mienendo ya wanachama wake ikibidi baadhi waondolewe, hii siyo great thinker ya mwanzo maana vitoto vya miaka 12 vinanunua smartphone na vinajiunga na jf na mwisho wa siku jf itakuwa kama fb.
 
Mkuu tafadhari naomba ya mamboya secondary, ipo kilosa hii shule..natanguliza shukrani
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2016 EXAMINATION RESULTS

S4745 MAMBOYA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0; DIV-II = 0; DIV-III = 0; DIV-IV = 3; DIV-0 = 2

CNO

SEX

AGGT

DIV

DETAILED SUBJECTS

S4745/0001

F

33

IV

CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S4745/0002

F

34

0

CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S4745/0003

F

32

IV

CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S4745/0004

M

34

0

CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S4745/0005

M

29

IV

CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'D' ENGL - 'C' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

EXAMINATION CENTRE RANKING

EXAMINATION CENTRE REGION

MOROGORO

TOTAL PASSED CANDIDATES

3

EXAMINATION CENTRE GPA

4.5119

CENTRE CATEGORY

CENTRE WITH LESS THAN 40 CANDIDATES

CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(REGIONWISE)

39/54

CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(NATIONWISE)

1246/1439
 
Back
Top Bottom