Uchaguzi 2020 NEC: Matokeo ya Urais yataanza kupokelewa kuanzia usiku wa leo kutoka kwenye Majimbo

Ee Mungu,kama umewapa nia ya kuchagua kiongozi watu wako,asiwepo mtu,watu,ama nguvu yoyote ya kuzimu,inayokusudia kutumia nafasi yake kupindisha haki na kweli katika matokeo.

Mungu tunakuomba utusimamie sie wanyonge ili nguvu yetu ya kura ithaminiwe.

Ni wewe tu muumba mbingu na nchi ndiyo tumaini letu.
 
Ahsante Mungu kwa kumdidimiza kibaraka wa mashoga mpaka kushindwa kuweka mawakala zaidi ya vituo 47 mpaka sasa kwa jiji la Dar tu.
Mungu mbariki JPM.
 
Hatoboi sababu ya kura yako moja? Umeweka kijiko cha chumvi ziwani na huyo unayemsema atashinda kwa zaidi ya 85%
Ila hongera kwa kutimiza wajibu wako
Unaelewa theory ya massive small kweli?
 
So ile hoja ya mgombea kuwatangazia watu wake kwamba ameshinda hajagusia? Lissu alisema ukifanikiwa kupata matokeo yote waweza waambia Jamaa zako na mkacheza kwa FURAHA akisubiri tangazo rasmi.
 
FB_IMG_1603879329375.jpg
 
Back
Top Bottom