Uchaguzi 2020 NEC: Matokeo ya Urais yataanza kupokelewa kuanzia usiku wa leo kutoka kwenye Majimbo

Niko na clouds tv matokeo ya awali Ilala
Leo wakati naenda kumtawanya mtetea mashoga kwenye box la kura nikapishana na hawa vijana wa chadema nikawacheki weee!!, nikagundua akuna mpiga kura hata moja alafu utashanga wanalalama wasipopata ata wabunge 5 nchi nzima.
 
Leo wakati naenda kumtawanya mtetea mashoga kwenye box la kura nikapishana na hawa vijana wa chadema nikawacheki weee!!, nikagundua akuna mpiga kura hata moja alafu utashanga wanalalama awasipopata wabunge 5 nchi nzima.
Nimekutana nao dukani baada ya kupiga kura. Wanaume wanaonekana smart kabisa, wakaniona kidole wakasema dada tayari. Nikawajibu ndio, wakaniambia umempa nani? Nikawajibu huyohuyo mmoja akasema niYeYeeeeee
Nikajisemea hawa wana akili za ajabu sana. Yaani wamekaa hawajapiga kura wanategemea Mimi nikawasaidie kumpigia huyo niYeYe wao🤔🤔
 
Back
Top Bottom