NEC: Bado hatujapokea Barua ya Kuvuliwa Ubunge wa Nyalandu kutoka kwa Spika

Chama cha Manunuzi. Nyalandu anasubiri NEC watangaze uchaguzi mdogo ili arudi tena dimbani kupitia CHADEMA.
 
Weka ukweli wako basi na wewe! Sasa wewe hata hujiongezi sasa unaona Bunge na Tume viko ofisi moja?

Kwa dunia hii ya technology hakuna ulazima wa kuwa ofisi moja ndio upate taarifa. Au bado taasisi za umma ziko ulimwengu wa Analogia wakati Digital ndio mpango mzima?
 
yale yale.... spika jana kasema kapeleka taarifa leo tume wanasema hawajapokea taarifa
hii nchi hii ishashindikana

spika muongo muongo sana na anajiaibisha tu


Pale hakuna speaker, we unaliona joho tu. Speaker alikuwa Sita
 
Kwani sheria inasemaje? Yaani miaka iliyobaki wananchi wakose haki ya kuwa na mwakilishi? Labda iwe nchini kwenu sio Tanzania kwa kifupi tarehe 26 Novemba tuna uchaguzi mdogo wa madiwani hii ni ishara tosha ya kukuelimisha na kukutoa kwenye giza!

In short kwa kukwepa aibu mkuu wa mihimili atasema hakuna uchaguzi kwenye hilo jimbo hadi 2020.
 
ZANZIBA - ASP NDUGAI Alikupigia simu?? maana kwenye vyombo vya habari kasema Hajapokea ya Nyalandu kapokea ya CCM kumvua uanachama. Na taratibu za kuiarifu NEC zinaendelea
 
Kwa dunia hii ya technology hakuna ulazima wa kuwa ofisi moja ndio upate taarifa. Au bado taasisi za umma ziko ulimwengu wa Analogia wakati Digital ndio mpango mzima?

Digital unaielewa au unaongea tu kufurahisha genge!
 
Back
Top Bottom