. Big up Zitto! President in the making. Wasipokupitisha CDM utaimgia hata kwa ugombea binafsi wasikushughulishe. Chapa kazi, CV itajieleza.
Chedema wasipompitisha ZZK, watampitisha nani?. Mkumbuke sisi wengine tunaujua msimamo wa Dr tena sio kwa hearsay but from hoses mouth!. ZZK is the one and only Chadema has! japo mshindi rasmi wa urais wa Tz kwa 2015 ni mgombea wa CCM!.. Big up Zitto! President in the making. Wasipokupitisha CDM utaimgia hata kwa ugombea binafsi. Chapa kazi, CV itajieleza.
P.
Kiburi, jeuri na tamaa ya madaraka inapozidi ndo matokeo yake haya.Who is Zitto, Rais, Waziri mkuu?
Ofisi yake inatoa Press release ya safari zake?
Zito anaenda kubaya na uchu wa madaraka.
Huyu mtu ni hatari.Inabidi ajiangalie angalau awe myenyekevu kidogo
anajiona Rais wa Tanzania tayari
Hivi anaenda kueneza M4C? Mbona sijaona sehemu inayoonyesha atafanya kazi za Chama?Hongera Mheshimiwa Zitto Kabwe kwa kuzuru Ujermani kueneza M4C. Uzi ni huo huo. Hakuna Kulala: Mpaka Kieleweke.
Zitto amepiga kelele sana kuhusu sheria ya madini na matokeo yake marekebisho yalifanyika, hivyo leseni zinatakiwa zitolewe kwa makampuni ya madini ambayo serikali ina hisa kwa asilimia 50.
Hata hivyo, week chache zilizipita vyombo vya habari vimetoa taarifa za kampuni ya Barrick kupata leseni kwa miaka mingine tena 15 kwa kutumia vigezo vya zamani - yaani serikali haina 50% ya shares!
Ningetaka kusikia toka kwa Zitto, nini maoni yake kuhusu uwekezaji wa Barrick Tanzania na sheria za madini.
Chedema wasipompitisha ZZK, watampitisha nani?. Mkumbuke sisi wengine tunaujua msimamo wa Dr tena sio kwa hearsay but from hoses mouth!. ZZK is the one and only Chadema has! japo mshindi rasmi wa urais wa Tz kwa 2015 ni mgombea wa CCM!.
P.
mkuu Pasco, EL afya yake siyo convinient kuwa mgombe wa urais ingawa mnajaribu ku-force, membe hana uwezo wa kupanda jukwaani kuomba kura na kujibu maswali kutoka kwa wananchi kuhusu ufisadi, hapa aliyebaki ni Mizengwe Pinda Kayanza
je utampa kura ya urais mtoto wa mkurabita, huyu ndiyo the only option ya ccm
Hata asipokuwa Lowassa? Siamini!Chedema wasipompitisha ZZK, watampitisha nani?. Mkumbuke sisi wengine tunaujua msimamo wa Dr tena sio kwa hearsay but from hoses mouth!. ZZK is the one and only Chadema has! japo mshindi rasmi wa urais wa Tz kwa 2015 ni mgombea wa CCM!.
P.