Ndugu Zitto ziarani Ulaya

kwanza nashukuru sana kwa kuleta suala hili. Sheria mpya ya madini inataka leseni mpya zote zitakazotoka chini ya sheria ile serikali iwe na hisa kwenye mgodi husika kwa kuanzia asilimia 15(free carried). Pia sheria mpya iliyotungwa kutokana na mapendekezo ya kamati ya bomani imeweka masharti mapya ya leseni na mfumo wa kodi.

Natumai waziri kivuli wa nishati na madini ndugu john mnyika ataweza kueleza nini hasa kimetokea kwenye mgodi wa north mara.

Sio hivyo tu, kampuni ya mantra pia imepewa leseni ya maalumu ya kuchimba urani wakati bado hawajalipa capital gains tax yetu kufuatia mgodi mradi kununuliwa na warusi.

Sijui prof muhongo ana maelezo gani kuhusu suala hili maana yeye ndie mtoa leseni kwa mujibu wa sheria

aulizwe mnyika kwani mnyika ndo serikali????? Zitto acha hizo kaka umenyea kambi tayari
 
aulizwe mnyika kwani mnyika ndo serikali????? Zitto acha hizo kaka umenyea kambi tayari

Soma hapa
Ningetaka kusikia toka kwa Zitto, nini maoni yake kuhusu uwekezaji wa Barrick Tanzania na sheria za madini.

majibu
Kwanza nashukuru sana kwa kuleta suala hili. Sheria mpya ya madini inataka leseni mpya zote zitakazotoka chini ya sheria ile Serikali iwe na hisa kwenye mgodi husika kwa kuanzia asilimia 15(free carried). Pia sheria mpya iliyotungwa kutokana na mapendekezo ya kamati ya Bomani imeweka masharti mapya ya leseni na mfumo wa kodi.

Natumai Waziri kivuli wa Nishati na Madini ndugu John Mnyika ataweza kueleza nini hasa kimetokea kwenye mgodi wa North Mara.

Sio hivyo tu, kampuni ya Mantra pia imepewa leseni ya maalumu ya kuchimba Urani wakati bado hawajalipa capital gains tax yetu kufuatia mgodi mradi kununuliwa na warusi.

Sijui Prof Muhongo ana maelezo gani kuhusu suala hili maana yeye ndie mtoa leseni kwa mujibu wa sheria

Kataja waziri na waziri kivuli wanaohusika na hilo suala kuna ubaya gani.
Tutafika kweli namna hii ndugu???
 
Kiburi, jeuri na tamaa ya madaraka inapozidi ndo matokeo yake haya.Who is Zitto, Rais, Waziri mkuu?
Ofisi yake inatoa Press release ya safari zake?
Zito anaenda kubaya na uchu wa madaraka.
Huyu mtu ni hatari.Inabidi ajiangalie angalau awe myenyekevu kidogo
anajiona Rais wa Tanzania tayari
You are obviously true to your name (FISADI Original). Anakosa gani Zito kuhudhuria mkutano ambao amealikwa? au unfikiri ni rahisi tu kujipendekeza kuhudhuria mikutano ya jinsi hiyo? Je unajua kuwa hata wewe ungeweza kwenda na kuhudhuria? mbona hujengi hoja kwa nini Zito asiende? Tafakari, chukua hatua!
 
Kwa nini asiende Lema jamani au kwa sababu hajui kingereza
Kiingereza ni lugha tu kama lugha nyingine. Ni bahati mbaya watanzania wengi wanaamini kujua kiingereza ndio kuelimika na kujua mambo. Wachina wanatoka kwao hawajui kiswahili lakini wanakuja huku wanafanya shughuli mbali mbali za kibiashara na ndio wajenzi wakuu wa barabara zetu viwanja vya mipira na majengo marefu wakishirikiana na watanzania. Ni kasumba tu ndiyo inatusumbua!
 
Back
Top Bottom