Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,677
- 4,089
Nasikia kuna sehemu wanazijaza wasiliana nao pale unapata mpaka za lita 25
Ni matumaini yangu muwa wazima wa afya.moja kwa moja naingia kwenye mada.Ilikuwa juzi tuilitoka kumwona dr.kwa mambo ya kupima uzazi ikaja kubainika nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane .naombeni msaada wenu kama kuna dawa litakalotibu hili tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubishi hama Dar wewe!!hapana ndugu hilo ni tatizo kama matatizo mengine inaweza kumpata mtu awaye yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeap yeap yeapSamaki wabichi?
Mateso hayo jamaniYeap yeap yeap
Kwani low sperm count ndo tatzo la nguvu za kiume..Kwa sababu wanaume wanaosumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume ni wanaume wa Dar!
Kwa nini mateso?Mateso hayo jamani
Labda kama nimekuelewa vibaya. Utakulaje samaki mbichi bila kumpika?Kwa nini mateso?
I mean samaki wabichi iwe mateso...!?
Ndio maana umeshangaa kumbe..Labda kama nimekuelewa vibaya. Utakulaje samaki mbichi bila kumpika?
Dah aiseee hapo sawa. Nilidhani akitoka baharini straight mdomoniNdio maana umeshangaa kumbe..
Nimesema samaki wabichi nikiwa na maana kwamba yaani wakitoka ziwani/baharini wanachemshwa au kupikwa hivyo hivyo chukuchuku dizain sio kukaangwa.
Aisee hilo si balaa jamaniDah aiseee hapo sawa. Nilidhani akitoka baharini straight mdomoni
ndugu acha nasihara basiNyie hamkuwa serious na kipimo, hiyo issue inahitaji nyeto ili kupata kitu pure kabisa.
mhhh Mungu wangu hii ni hatari mwenzenu nina tatizo wee unauliza maswali ya ajabu ajabuMlipiga show chumbani kwa dokta au mlienda guest?
yaani ndugu siku hizi hata majubu ukimwi hazifichwi.chuu kwanini yeye kafanya hivyoHuyo dokta ni mpuuzi tu, Kwanini anakuficha ilihali mmeenda kwa hiyari yenu kupima afya zenu
Mkuu angalia asijetengeneza nyingi mpaka zikawa zinajaza mpaka kizazi sasaKaranga mbichi mkuu, maharage mengi, samaki wabichi tafuna na carroti sana.
Alafu pia kuna mzizi mmoja wa kimaasai unaitwa "Ngororiii" unautafuna utakusaidia sana kwenye show zako yaani hadi wife ataniletea zawadi kwa kukujulisha kuhusu hii kitu.
ahsante ndugusina cha kusema ila pole sana mkuu. hilo swala ni zito sana.
ndugu gharama hizoNasikia kuna sehemu wanazijaza wasiliana nao pale unapata mpaka za lita 25
ndugu cjawahi fanya hicho kitendo kabisaAcha nyeto kama unao huo mchezo mkuu