Ndugu zangu UKIMWI is real

Walioathirika hawapendi hizo kauli za ukimwi mbaya
Ndio Tabia ya Ukweli ilivyo, Ukweli mchungu, Ukweli unauma mbaya sana

Ila ukimwi ni kitu mbaya zaidi, jihadhari chukua hatua ......
 
Wenyewe hawapendi kuambiwa ukimwi mbaya, huelewi au?
Kupenda au kuchukia ni uamuzi na haki binafsi....

Lakini Ukweli wa mambo katika Ujumla, UKIMWI ni Hatari sana, ni tishio Jihadhari nao.....
 
ukimwi wa sasa ni very humble, Ukimwi ulikuwa enzi za makuzi yetu, mtu akiukwaa tuu iyo ndio kwaheri tena anakufa akiwa ameteketea mwili. ivi sasa it's normal thing. Adi mabango serikali wameshayatoa mabarabarani..

Corona virus ilikuja kwa kasi wakaipooza adi saiz tunaishi nayo. all in all wakomae kuvumbua dawa wanaadamu wapone, kuna wengine ni wadogo wamezaliwa na maambukizi wanajikuta wanameza dawa tu pasipo kujua. inaumiza kisaikolojia
 
Nko hapa nakusubr jion kwa hamu naon umenitoa kwenye mchezo KBSA...
 
lkn wazee c tulikubaliana daw ya ukimwi December 2023 itakuw tayar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom