Ndugu zangu nimefiwa na baba yangu

Pole sana mkuu R.I.P mzee wetu, Mungu akupe faraja katika wakati huu mgumu na ufike salama kijijini.
 
Pole sana Rip Baba
pole sana Chamkey....inauma mno kupoteza mzazi na inauma zaidi pale unapokuwa mbali bila kuweza kumuaga kwa mara ya mwisho....Mungu atakutia nguvu...yeye ndie awezae yote....nyie mlimpenda lakini Mungu alimpenda zaidi....mapenzi yake yatimizwe
Pole sana.....RIP Mzee wetu
 
Chamkey,
pole sana .... Sipati picha hayo maumivu unayoyapata ya kushindwa kumuaga baba yako kipenzi katika safari yake ya mwisho!......nimebaki najiinamia maana i know the pain of losing your parent!
Tutakuombea kwa mola akupe subira...akupe ustahimilivu.... Akupe uwezo wa kuhimili machungu haya...

Nakushauri jitahidi kuomboleza uwezavyo usione vibaya hata ikibidi kulia sana...itakusaidia sana,

pole tena! Mungu amlaze baba mahali pema paradiso.amen
 
Pole sana Chamkey kwa msiba ulokupateni, wewe na familia yako. Ni kazi na mapenzi ya Mungu. Ninaiombea familia yako, hasa wewe ulieko mbali, Mungu akupeni subira hasa katika kipindi hiki cha Msiba.

Mungu amlaze Marehemu mahala pema.
 
pole sana mkuu tujuze ni sehemu ghani anapozikwa baba yako kijiji nk hata jina wapo watakaohufhuria.
 
pole sana mkuu jivike moyo wa ujasiri usafiri salam uje katika msiba.

pole sana tuko pamoja kumwombea marehemu.

mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi. Amen
 
Mungu awape faraja wote walioguswa na msiba huu; kazi ya Mungu haina makosa. R.I.P. mzee wetu.
 
Pole saaana. Mola akupe subra kipindi kigumu hiki. Tunamuomba mola amuweke pema peponi. Pia nasi tulobaki tufanye mäandalizi.
 
Mkuu, pole sana. Mungu akujaalie nguvu za kuvumilia pigo hili kubwa katika maisha
 
Pole sana Chamkey
Inauma sana kumpoteza baba hasa pale unapokuwa mbali, na huwezi kuhudhuria mazishi. Mungu akujalie nguvu kwani yeye ndie awezae yote. Sisitulimpenda lakini Mungu alimpenda zaidi.

Pole sana, RIP Baba yetu
 
pole sana mkuu, Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihidimiwe, amen
 
Chamkoroma pole sana ndugu; Mungu wa neema zote akutie nguvu na kukufariji
 
Pole sana Chamkoroma,dunia hii ni mapito
safiri salama uje ungane na nduguzo kupeana faraja katika kipiindi hiki kigumu cha majonzi
 
Back
Top Bottom