Ndugu zangu nimefiwa na baba yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu zangu nimefiwa na baba yangu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chamkoroma, Feb 19, 2011.

 1. C

  Chamkoroma Senior Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yenu nimefiwa na baba yangu jana tar. 18/2/2011 muda wa saa 11 jioni kwa habari toka kwa ndugu zangu,
  mimi ndugu yenu nipo nje ya TZ, ni vizuri kukaa mbali lkn yanapotokea mambo kama haya inaumiza sn, natamani ningekuwa nyumbani ningewahi mazishi kwani mazazi wangu amefia kijijini kwetu na nimbali na motuary, inaniuma sn kwani sitakuja uona uso wa baba yangu.
  Hapa jamvini ni kwetu sote ni vema kupeana habari hizi.
  Mungu awabariki sana.
  Chamkey.
   
 2. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,550
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu, mungu aiweke mahala pema peponi roho ya baba yako na akupe wewe nguvu na ujasiri katika kipindi hiki cha majonzi, tuko pamoja na again, pole sana.
   
 3. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Pole sana ndugu kwa msiba uliokupata. Mungu akupe faraja na akutie nguvu wewe pamoja na waombolezaji wote.
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu .. pole sana ..... kazi ya mungu haina mipaka ... RIP
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  pole sana Chamkey....inauma mno kupoteza mzazi na inauma zaidi pale unapokuwa mbali bila kuweza kumuaga kwa mara ya mwisho....Mungu atakutia nguvu...yeye ndie awezae yote....nyie mlimpenda lakini Mungu alimpenda zaidi....mapenzi yake yatimizwe
  Pole sana.....RIP Mzee wetu
   
 6. K

  K007 Member

  #6
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana ndugu yangu! jipe moyo sote ndiyo njia hiyo ni kweli inauma bila kuona hata sura mara ya mwisho! inauma!
   
 7. semango

  semango JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Pole sana mkuu.hakika ni wakati mgumu sana lakini yote ni mipango ya Mungu.Mungu akupe nguvu ya kuhimili na pia Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...pamoja sana mkuu
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Pole Sana Mkuu na Mungu Akubariki, Hasa hiki Kipindi Cha Majonzi..
   
 9. C

  Chamkoroma Senior Member

  #9
  Feb 19, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu angu nashukuru sana kwa maneno yenu ya upendo, kweli najisikia faraja kuwa ninao ndugu zangu japo sijawahi kumuona hata mmoja wenu, Mungu awabariki sana, najiandaa kuondoka kuanza safari kurudi nyumbani kuanzia jumanne au jtano niandae ticket baada ya kupata ruhusa toka kazini,
  mungu awabariki sana sana ndugu zangu najisikia amani sana kwa maneno yenu ya kunifariji.
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Chamkey,
  Pokea salamu zangu nyingi sana za pole.
  Labda nikufahamishe kuwa tatizo kama ulilo nalo wewe limeshatufika wengi sana, na hakuna jinsi zaidi ya kulibeba na kumwomba Mungu akupe faraja hasa kipindi hiki kigumu kwako.
  Mungu aiweke pema peponi roho ya baba yetu mpendwa.

  Lakini kwa nafasi ya pili ya jambo hili, naona umeamua kuweka kila kitu kwenye anonimity, huenda ukawa unaamini katika privacy ideology!
  Lakini ingekuwa ni mtu kama mimi ambaye sina ideology hiyo ningeweka mambo hadharani, kuwa baba yangu anaishi wapi, na atazikiwa wapi kimaeneo,...huwezi jua bana...dunia hii ni pana na mahusiano hayana mipaka!
  Ni mtazamo tu broda huku tukiwa tunaendelea na maombolezo.

  Nadhani nimeeleweka...Kaza moyo kaka!
   
 11. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Pole sana mkuu.Mungu akupe nguvu wakati huu mgumu na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
   
 12. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Pole ndugu kwa huo msiba mkubwa. Mungu akupe nguvu na akutangulie ktk safari yako
   
 13. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Pole kwa msiba mzito uliokupata jipe moyo kuushinda uzuni mungu upanga kila jambo nahiyo nimipango ya mungu hakuna wakuipangua lamsingi nikumwombeakwa mora amwondoshee kila aina ya mizigo huko ahera ili awe huru!!
   
 14. Miss X

  Miss X Member

  #14
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Pole sana ndugu, mungu akujaze ujasiri wa kuweza kuhimili wakati huu mgumu.
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Pole sana!
   
 16. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #16
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Pole sana mkuu nakutakia kila la kheri ktk kipindi hiki cha majozi
   
 17. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #17
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Pole sana kaka.
  Mungu akupe moyo wa uvumilivu na busara zaidi kipindi hiki ambacho hautamuona tena baba yako.
  Mungu akupe nguvu na ruhusa upate ili kuja kuona japo nyumba ya kudumu ya mpendwa wako.
   
 18. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole sana cham, Mungu awatie nguvu
   
 19. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu pole sana sana, RIP mzee .
   
 20. kijana makini

  kijana makini Member

  #20
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Pole sana ndugu..May the almighty God help u to be strong in this hard time.may tha soul of your dear Dad rest in peace in the eternal light..Amen
   
Loading...