Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,468
- 2,181
Anakutega kama hivi mkuuHabarini wadau.
Nina ndugu yangu wakike yaan ni mtoto wa shagazi yangu upande wa mama, amemaliza Diploma siku chache hapa sasa amekuja kwetu kutusalimu kipindi hichi cha sikukuu
Sasa kadri sku zinavyozidi kwenda naona signs kibao tu coz mi mwenyw mzoefu sometimes ananifata mpaka chumban kwangu usiku nikienda kwenye mishe zangu nikichelewa kurudi home anaanza kulalamika eti nilikua wapii
Sasa nasindwa kumwelewa
Nisaidieni