Cha kwanza hama hapo nyumbani, huoni aibu?
ndio ni mzoefu but simuelew nia yake coz ni NDUGU YANGU wasiwasi wangu ni kwann iwe hivo na anajua sisi ni ndugu? Umeeelewaaaa?Kwanza umesema wewe ni mzoefu kwa maana unaelewa anachokitaka.
Mwisho tena unasema umuelewi kwa maana hujui anachokitaka kama nimekuelewa vema.
Labda utueleweshe kipi tukusaidie hapo?
😂😂 Inawezekana kweli...jinga kabisaSio anakutega bali akili yako ndio inajitega. Jinga kabisa
Ushauri mzuri sanaCha kwanza hama hapo nyumbani, huoni aibu?
Kwa hiyo umeona ile avatar black and white haitoshi umeamua kuweka coloured kabisa...Na wewe tegeka jombaa kwani sjo ngapi bhanaa 🤪🤪🤪
Just kidding...
Hebu twende kwa melo tumwambie arudishe JLWIfikie pahala hili jukwaa tuachie watoto, siye tukatafute letu tu..!
Habarini wadau...
Nina ndugu yangu wakike yaan ni mtoto wa shagazi yangu upande wa mama... Amemaliza diploma siku chache hapa sasa amekuja kwetu kutusalm kipind hichi cha skukuu
Sasa kadri sku zinavyozidi kwenda naona signs kibao tu coz mi mwenyw mzoefu sometimes ananifata mpaka chumban kwangu usku...nikienda kweny mishe zangu nikichelewa kurudi home anaanza kulalamika eti nilikua wapii
Sasa nasindwa kumwelewa
Nisaidien
SureIfikie pahala hili jukwaa tuachie watoto, siye tukatafute letu tu..!
Afanyeje?Binam!!!??? Unkwam wap mzeee