kizuri kula na nduguyo.
Nampiga chini huyo demu kisha huyo ndugu yangu nae namhamisha kabisa akaanze kujitegemea mpaka anafikia stage ya kula kitu yangu.Navunja mahusiano kwa kutangaza ili nione ataishije tena ndani ya ukoo...! Lazima awe adui wa kila mwanafamilia....!
teh teh teh!unawivu weye?hebu tupe utawafanyaje?tamaa nyingine ni mbaya sana..for me hapatatosha aisee wote wawili ntadeal nao
damu nzito,
Mi nadhani mke ndio hafai, napiga chini haraka. Ndugu wala sitakuwa na tatizo naye, sababu angeweza hata kuwa si ndugu yako.
wakichanika then what next!??Nawakusanya wote alafu nawachana live!
wakichanika then what next!??
Dah hii kali sana.Sifukuzi mke wala sigombani na ndugu yangu nitakachofanya ni kutafuna shemeji mmoja baada ya mwingine wakiisha nahamia kwa mashoga zake
Sifukuzi mke wala sigombani na ndugu yangu nitakachofanya ni kutafuna shemeji mmoja baada ya mwingine wakiisha nahamia kwa mashoga zake