Ndugu yang kabisaaaaa toka ntoke

MagicM

Member
Sep 19, 2011
80
7
Jaman wat if unagndua kaka/dada yako anatoka na shemeji yake na ww ni ndugu kabisaaaaaaa!!!!
 
Navunja mahusiano kwa kutangaza ili nione ataishije tena ndani ya ukoo...! Lazima awe adui wa kila mwanafamilia....!
 
tamaa nyingine ni mbaya sana..for me hapatatosha aisee wote wawili ntadeal nao
 
Mi nadhani mke ndio hafai, napiga chini haraka. Ndugu wala sitakuwa na tatizo naye, sababu angeweza hata kuwa si ndugu yako.
 
yanatokea sana haya,wengine hata kuzalisha wanazalisha,mara nyingi mdogo ndo anamlia kakake/dadake.
 
Navunja mahusiano kwa kutangaza ili nione ataishije tena ndani ya ukoo...! Lazima awe adui wa kila mwanafamilia....!
Nampiga chini huyo demu kisha huyo ndugu yangu nae namhamisha kabisa akaanze kujitegemea mpaka anafikia stage ya kula kitu yangu.
 
Mi nadhani mke ndio hafai, napiga chini haraka. Ndugu wala sitakuwa na tatizo naye, sababu angeweza hata kuwa si ndugu yako.

Sifukuzi mke wala sigombani na ndugu yangu nitakachofanya ni kutafuna shemeji mmoja baada ya mwingine wakiisha nahamia kwa mashoga zake
 
Sifukuzi mke wala sigombani na ndugu yangu nitakachofanya ni kutafuna shemeji mmoja baada ya mwingine wakiisha nahamia kwa mashoga zake

una uzuri au sifa za kutosha mpaka uwale wote hao au unafikili utakuwa unaenda kubonyeza tu wanakubali.KAKA VISASI VINALETAGA HASARA MARADUFU.badili wazo kaka zipo solution nyingi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom