Ndugu wanachangia kunirudisha nyuma kimaendeleo

Nimeongelea jinsi tunavyoendekeza Ujamaa na kuondoka kwenye kujitegemea.

Nimeelezea umuhimu wa kuona aibu kuombaomba.

Nimeeleza kuna umuhimu wa kutowanyanyapaa watu wanaoomba kwa sababu tuna matatizo ya kimsingi, kiutamaduni na kiuchumi kama jamii.

Nielezee pia jinsi moyo wa kusaidia watu ambavyo haujawahi kunifanya nijisikie nimepungukiwa.

Kuna kuombwa hela, halafu kuna mara unaombwa hela mpaka unafikiri watu wame ku target wanaambizana.

Hivi karibuni nilipata mtihani kama huo.

Katika kipindi cha kama miezi miwili tu nilifuatwa kama mara sita. Na watu wa karibu. Wote wana virungu vikubwa.

Lakini mara nyingine unaangalia unasema wacha nisaidie tu, hii hela si kubwa hivyo, udugu wetu una maana zaidi ya hela, hata kama kwao hii ni hela kubwa, mimi naweza kuwasaidia, kutafuta nyingine na kupata zaidi.

Mtu wa kwanza aliniomba, nikamsaidia. Mtu wangu. Najua ana matatizo.

Mtu wa pili akaniomba. Mtu wangu naye.Nikamwambia nimetoka kumsaidia mtu, akawa kimya. Baada ya mwezi akarudi. Mara ya pili nikaona isiwe tabu. Nikamsaidia.

Sijakaa sawa mtu mwingine namuheshimu tu, hana tabia ya kuombaomba, akanipiga mzinga. Gia ya mkopo, lakini mikopo hii ninayo mingi tu sasa hailipwi. Nikampa, nahesabu nimempa msaada si mkopo.

Mtu wa nne akanifuata, nikamuangalia nikaona hapa kuna shida. Nikampa hela.

Wa tano naye hivyo hivyo. Kuna kodi huko.

Wa sita ndiye muhimu kushinda wote na alikuwa anauguza. Nikamsaidia.

Yani mtu anaomba msaada, anaanza kujieleza sana, mpaka unaamua kumkatisha unamwambia, ndugu yangu, wewe kwangu hustahili kutoa maelezo marefu. Una uhitaji, mimi nina uwezo, nakusaidia. Kama sina uwezo nitakueleza. Nakuamini, hivyo maelezo marefu sana sihitaji. Usawa wa Magu unajulikana huu. Malaika wenyewe kina Rugemalira wanaishi kama mashetani, itakuwa wewe?

Nikasema mimi nimekula nadhiri kuwasaidia hawa watu wote kwa sababu nawaelewa na nawakubali na nina uwezo wa kuwasaidia.

Basi ile nilivyoweka nadhiri hiyo, nikacheki email.

Nikakuta benki yangu imenitumia email.

Kuna deal fulani nilifanya na benki yangu, halafu nikasahau kabisa kwamba kuna hela zangu nzuri tu zinakuja.

Email inasema bwana Kiranga tunakuomba sana u deposit cheki yetu tuliyokutumia miezi miwili iliyopita. Cheki hii itakuwa halali kwa miezi sita tu, na mpaka sasa miezi miwili tunaona imepita na wewe hujaigusa hii cheki. Hivyo nenda kai deposit haraka sana ili usije kupata usumbufu.

Nikasema lahaula wa lakwata ukisikia bahati ya mtende si ndiyo hii? Mimi nimejitoa kusaidia watu mpaka naona nataka ku overstretch bajeti ya misaada, kumbe kuna hela zinanisubiri hata sijui zipo?

Nikaenda kuangalia sehemu naweka bahasha, kuna bahasha yao ilikuwa na hiyo cheki. Nikaifungua, nikakuta cheki inaidhinisha kunipa hela mara nyingi sana ya zile nilizotoa msaada.

Halafu tarehe ya cheki ilikuwa karibu inagongana na tarehe niliyoanza kupigwa mizinga.

Nikasema hapa kama mtu anaamini Mungu ndiyo anasema huu ulikuwa mtihani nimepewa na Mungu kuona kama naweza kuwa na moyo wa kusaidia watu hata kama mizinga ikizidi, nikapasi mtihani, na sasa Mungu kaamua kunizawadia.

I still don't believe in God though.

Even as I believe in helping others.

In fact , the fact that there is no God makes me even more responsible in helping others.

Kama ningeamini Mungu yupo, ningewaambia wanaoomba msaada wamuombe Mungu tu.

Kiranga Cha Ngeda Sakala Kandumbwa
aka Kaka Mkubwa.
Huna lolote unamuamini Mungu sana tu, sema hapa unajichetuaga[emoji57]
 
Wakubwa zangu hebu tusaidiane katika hili,

Ndugu, jamaa na marafiki wanachangia kunikwamisha kupiga hatua za kimaendeleo.

Mwanzoni nilitamani sana kuwa muajiriwa baada ya kumaliza masomo yangu hatimaye kilio changu kikasikika kwa aliye juu, kama miezi saba hivi iliyopita nimetinga rasmi ajirani. Lakini ninayokutana nayo huku ni Mungu tu asaidie.

Baada ya ndugu tu kusikia nimelamba keki ya taifa sasa macho yote na masikio yote yameelekezwa kwangu simu na jumbe za kuomba pesa hazikauki kila unapokaribia mwisho wa mwezi. Hapo bado wana niliosoma nao (classmates) na washikaji niliowaacha kitaa. Meseji za "mwanangu nitoe ya vocha, mwanangu naomba nisave kiasi kadhaa" ni za kufikia. Wengine wanakuja kwa style ya kukopa then wanalala mbele mazima kwa kuwa ni ndugu unaamua kukaushia

Kibaya zaidi wengine wanaoomba ni watu wazima kabisa na familia zao mpaka unabaki kujiuliza maswali yasiyo na majibu, hivi wakati hujajiriwa walimudu vipi kulea familia zao? Waliishije? Au ni kutafutiana lawama tu ili mtu uonekane husaidii watu? Au labda kwa kuwa sijaoa wala sina mtoto wanafikiri sina majukumu?

Yes, labda wanafikiri sina majukumu lakini wanashindwa kutambua huu ndio muda wangu wa kujipanga hata mimi natamani niwe na familia kama wao nafanya kila jitihada ya kusave per month ili one day wanangu waje kuishi maisha safi wasiishi maisha niliyopitia mimi wakati nayafanya haya ndugu nao hawako nyuma kuhakikisha ndoto yangu hii haitimii wao kila kukicha ni shida zisizoisha wengine wana watoto wakubwa kabisa tunaolingana nao umri wengine nawazidi kidogo lakini wote wananitegemea mimi kuanzia baba mpaka mtoto.

Just imagine katika mazingira kama haya mtu unatokaje kimaisha? Kumbuka wanaokutegemea siyo hao tu. Infact imefikia point nimeanza kuchukia ajira yangu naona bora nisingeajiriwa tu kuepuka kubebeshwa kapu la lawama nililo nalo kwa sasa. Kila nikijitahidi kusave hamna ninachoambulia kila mmoja anataka nimtatulie shida zake.

I thought baada ya kuajiriwa nitadeal with only my parent kumbe nilikuwa najidanganya kuna kundi kubwa nyuma yangu yaani hawajui kabisa kama nadaiwa mamilioni ya pesa na Bodi ya Mikopo?

Kwa kifupi mambo yako hivo, labda tushauriane ndugu zangu mlionitangulia nyie mliwazaje kupambana na changamoto kama hizi mambo yakawa sawia bila ya kumuumiza mwingine?

Sijapanda hata daraja nyie mmeshanigeuza Saccoss. Bandugu muwe na huruma hizi zama za Magufuli siyo za kuombana hela kila wakati, kila mmoja apambane na stress zake
Pole ndugu..Hili Ndo Tatizo la Africa na Uwezi kulikwepa But Kama wadau walivyokushauri jaribu kuwa na roho ngumu kidogo..Serikali yenyewe ina pesa za kutosha Lakini Kuna wakati wanapotezea maeneo mengine Alafu wanapeleka pesa pengine..Ungesoma uchumi ungenielewa zaidi..Nilipokuwa nasoma Nikajua umepata kazi yenye kipato kizuri au umekuwa mkuu was kitengo..But uliposema Ni kazi ya uwalimu nimeumia Sana..Kingine Embu fanya kuoa chap kidogo ili wajue una majukumu..
 
Elimu yetu si ufunguo Wa Maisha tena.Zama zimebadilika hakuna elimu kubwa kushinda yote zaidi ya Google.Google is everything
 
Mkuu ukitaka kufanikiwa jiandae ku-sacrifice bahadhi ya mambo, either watu, vitu ama tabia fulani, nilikuja kugundua hilo too late nikiwa second year chuo maana nilikuwa natuma hela home sana aisee kwa ndugu ndo usiseme hizi hamsini, laki laki mbili mpka laki tatu nimetuma sana tu, but nilijifunza kitu mkuu,

katika maisha hatakama una roho ya huruma na nia ya kusaidia watu, sikuzote jaribu kutumia hekima, huwezi msaidia mwingine ilihali wewe huna uwezo wa kutatua hata bahadhi ya matatizo yako mwenyewe, yaani unatengeneza jina kwingine huku unaumia na kujilaumu na huu siyo msaada wenye baraka, sikuzote fanya kile kilicho ndani ya uwezo wako, usijaribu kutoa msaada ambao unazidi uwezo, utaumia na hutoona baraka za misaada hiyo kwasababu utakuwa ni wa kujilaumu kama hivi, so angalia uwezo wako, thathmini malengo yako ya baadae, jipangie bajeti yako kisha angalia kipi niweke wapi na kwasababu gani, baada ya hapo mtu akikutafuta mwambie ukweli huna hela, acha kuwa "Mr.nice guy" hutotoboa haya maisha leo wala kesho kwasababu wanaokuangalia wengi.

Naomba kunukuu kutoka kwa mzee wangu wa busara.

"Kijana wangu Mr.Purpose, ukitaka kufanikiwa katika maisha ni lazima uwe na roho ngumu na ya tofauti ambayo wengi hutafsiri kama roho mbaya. Hakuna haki duniani, na maisha hayapo fair, jiangalie wewe kwanza, jitengenezee mazingira kisha Mungu akikufungulia njia hapo sasa watengenezee na wengine kadiri ya uwezo wako kwa wakati huo. Kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi kama mwanaume kulingana na malengo uliyonayo kwasasa na kwa baadae pia"

Mwisho wa kunukuu.

Mkuu wema usizidi kipimo, fanya maamuzi ambayo wewe hayatokuumiza na kujutia. Kila la kheri boss.
Nime LOG IN ili kukushukuru kwa Nasaha hii, infact natunza hii kama ushauri na guidance kwa watu wengine huko baadaye

Ubarikiwe
 
Unapoanza maisha piga chini mambo ya kusaidia ndugu yeyote, hapa hawatakuelewa, pambana utoboe kimaisha then anza kuwasaidia, msaada mzuri ni ule wa kumpatia ndugu fursa ya kujikwamua kimaisha ukikalia kusaidia pesa itakuwa ni endless process.
 
Hawa ndugu zangu wana lawama balaa usipo wageia kidogo ni matatizo ila sasa imefikia point na mimi nimechoka kutegemewa kwa kila kitu sasa make naona ndoto zangu hazitotimia kwa mwendo huu ila sasa nifanyeje kuepukana na hii hali kiasi kwamba uamuzi wangu usimkere wala kumuumiza mtu? Shida ndo iko hapo
Mwandiko uliowaandikia ndio waliousoma.
 
Wakubwa zangu hebu tusaidiane katika hili,

Ndugu, jamaa na marafiki wanachangia kunikwamisha kupiga hatua za kimaendeleo.

Mwanzoni nilitamani sana kuwa muajiriwa baada ya kumaliza masomo yangu hatimaye kilio changu kikasikika kwa aliye juu, kama miezi saba hivi iliyopita nimetinga rasmi ajirani. Lakini ninayokutana nayo huku ni Mungu tu asaidie.

Baada ya ndugu tu kusikia nimelamba keki ya taifa sasa macho yote na masikio yote yameelekezwa kwangu simu na jumbe za kuomba pesa hazikauki kila unapokaribia mwisho wa mwezi. Hapo bado wana niliosoma nao (classmates) na washikaji niliowaacha kitaa. Meseji za "mwanangu nitoe ya vocha, mwanangu naomba nisave kiasi kadhaa" ni za kufikia. Wengine wanakuja kwa style ya kukopa then wanalala mbele mazima kwa kuwa ni ndugu unaamua kukaushia

Kibaya zaidi wengine wanaoomba ni watu wazima kabisa na familia zao mpaka unabaki kujiuliza maswali yasiyo na majibu, hivi wakati hujajiriwa walimudu vipi kulea familia zao? Waliishije? Au ni kutafutiana lawama tu ili mtu uonekane husaidii watu? Au labda kwa kuwa sijaoa wala sina mtoto wanafikiri sina majukumu?

Yes, labda wanafikiri sina majukumu lakini wanashindwa kutambua huu ndio muda wangu wa kujipanga hata mimi natamani niwe na familia kama wao nafanya kila jitihada ya kusave per month ili one day wanangu waje kuishi maisha safi wasiishi maisha niliyopitia mimi wakati nayafanya haya ndugu nao hawako nyuma kuhakikisha ndoto yangu hii haitimii wao kila kukicha ni shida zisizoisha wengine wana watoto wakubwa kabisa tunaolingana nao umri wengine nawazidi kidogo lakini wote wananitegemea mimi kuanzia baba mpaka mtoto.

Just imagine katika mazingira kama haya mtu unatokaje kimaisha? Kumbuka wanaokutegemea siyo hao tu. Infact imefikia point nimeanza kuchukia ajira yangu naona bora nisingeajiriwa tu kuepuka kubebeshwa kapu la lawama nililo nalo kwa sasa. Kila nikijitahidi kusave hamna ninachoambulia kila mmoja anataka nimtatulie shida zake.

I thought baada ya kuajiriwa nitadeal with only my parent kumbe nilikuwa najidanganya kuna kundi kubwa nyuma yangu yaani hawajui kabisa kama nadaiwa mamilioni ya pesa na Bodi ya Mikopo?

Kwa kifupi mambo yako hivo, labda tushauriane ndugu zangu mlionitangulia nyie mliwazaje kupambana na changamoto kama hizi mambo yakawa sawia bila ya kumuumiza mwingine?

Sijapanda hata daraja nyie mmeshanigeuza Saccoss. Bandugu muwe na huruma hizi zama za Magufuli siyo za kuombana hela kila wakati, kila mmoja apambane na stress zake
Hata Mungu mwenyewe huwa hajibu kila ombi licha ya kuwa na Uweza wote.Kwa Mungu kuna mengi ya kujifunza.Mengi sana.
 
Tangu mwanzo kabisa ulipaswa kuwaonesha kwa vitendo kwamba upo serious na hiyo uliyosema future ya familia hususani watoto wako.
Hawa ndugu zangu wana lawama balaa usipo wageia kidogo ni matatizo ila sasa imefikia point na mimi nimechoka kutegemewa kwa kila kitu sasa make naona ndoto zangu hazitotimia kwa mwendo huu ila sasa nifanyeje kuepukana na hii hali kiasi kwamba uamuzi wangu usimkere wala kumuumiza mtu? Shida ndo iko hapo
 
Wakubwa zangu hebu tusaidiane katika hili,

Ndugu, jamaa na marafiki wanachangia kunikwamisha kupiga hatua za kimaendeleo.

Mwanzoni nilitamani sana kuwa muajiriwa baada ya kumaliza masomo yangu hatimaye kilio changu kikasikika kwa aliye juu, kama miezi saba hivi iliyopita nimetinga rasmi ajirani. Lakini ninayokutana nayo huku ni Mungu tu asaidie.

Baada ya ndugu tu kusikia nimelamba keki ya taifa sasa macho yote na masikio yote yameelekezwa kwangu simu na jumbe za kuomba pesa hazikauki kila unapokaribia mwisho wa mwezi. Hapo bado wana niliosoma nao (classmates) na washikaji niliowaacha kitaa. Meseji za "mwanangu nitoe ya vocha, mwanangu naomba nisave kiasi kadhaa" ni za kufikia. Wengine wanakuja kwa style ya kukopa then wanalala mbele mazima kwa kuwa ni ndugu unaamua kukaushia

Kibaya zaidi wengine wanaoomba ni watu wazima kabisa na familia zao mpaka unabaki kujiuliza maswali yasiyo na majibu, hivi wakati hujajiriwa walimudu vipi kulea familia zao? Waliishije? Au ni kutafutiana lawama tu ili mtu uonekane husaidii watu? Au labda kwa kuwa sijaoa wala sina mtoto wanafikiri sina majukumu?

Yes, labda wanafikiri sina majukumu lakini wanashindwa kutambua huu ndio muda wangu wa kujipanga hata mimi natamani niwe na familia kama wao nafanya kila jitihada ya kusave per month ili one day wanangu waje kuishi maisha safi wasiishi maisha niliyopitia mimi wakati nayafanya haya ndugu nao hawako nyuma kuhakikisha ndoto yangu hii haitimii wao kila kukicha ni shida zisizoisha wengine wana watoto wakubwa kabisa tunaolingana nao umri wengine nawazidi kidogo lakini wote wananitegemea mimi kuanzia baba mpaka mtoto.

Just imagine katika mazingira kama haya mtu unatokaje kimaisha? Kumbuka wanaokutegemea siyo hao tu. Infact imefikia point nimeanza kuchukia ajira yangu naona bora nisingeajiriwa tu kuepuka kubebeshwa kapu la lawama nililo nalo kwa sasa. Kila nikijitahidi kusave hamna ninachoambulia kila mmoja anataka nimtatulie shida zake.

I thought baada ya kuajiriwa nitadeal with only my parent kumbe nilikuwa najidanganya kuna kundi kubwa nyuma yangu yaani hawajui kabisa kama nadaiwa mamilioni ya pesa na Bodi ya Mikopo?

Kwa kifupi mambo yako hivo, labda tushauriane ndugu zangu mlionitangulia nyie mliwazaje kupambana na changamoto kama hizi mambo yakawa sawia bila ya kumuumiza mwingine?

Sijapanda hata daraja nyie mmeshanigeuza Saccoss. Bandugu muwe na huruma hizi zama za Magufuli siyo za kuombana hela kila wakati, kila mmoja apambane na stress zake
Bro, umeandika kwa uchungu sana. Kama nakuona vile.

Kikubwa bwana "do your things first". You can't save everyone! Jesus the saviour had died for them, so you are not Jesus ( kama una imani ya kikristu).

Unaweza saidia wale waliopo katika vicinity yako, hasa wazazi wako pamoja na ndugu zako wa karibu. Amini hili ni kundi pekee linalokutakia mema na limekuwa nawe wakati wote. Usiumize sana kichwa na hao wanaofumuka kama volkano baada ya kuona una ajira/mafanikio.

"You can do more by first puting yourself into a strong position, have a limit to your kindness"

Tumia nafasi yako kujiimarisha kwanza. Kusaidia watu ni jambo zuri, lakini wema usizidi uwezo wako.
 
Back
Top Bottom