Ndugu wanachangia kunirudisha nyuma kimaendeleo

Ndugu wanachangia kunirudisha nyuma kimaendeleo

Hapo dawa yake ni kuwa kauzu zaidi ya dagaa, mtu akikupa shida yake na wewe mpe shida yako kubwa ya kusadika, ikiwezekana unamwambia alikuwa kwenye list ya kukopwa. Pia changua simu za kupokea, unaweza fanya segmentation maana kuna watu hawajui kama upo, wakipiga simu na kuleta matatizo tu.

Weka kiwango chako chankusaidiankwa mwezi na siyo kila tatizo linahitaji msaada wako.

Jivunze kufunga vioo
 
Hawa ndugu zangu wana lawama balaa usipo wageia kidogo ni matatizo ila sasa imefikia point na mimi nimechoka kutegemewa kwa kila kitu sasa make naona ndoto zangu hazitotimia kwa mwendo huu ila sasa nifanyeje kuepukana na hii hali kiasi kwamba uamuzi wangu usimkere wala kumuumiza mtu? Shida ndo iko hapo
Ili uendelee lazma uwakere na wengine wawe maadui zako km unataka amani endelea kuwahudumia!
 
Nilikuwa nafikiria kufanya hivo ila nahisi itanijengea taswira mbaya zaidi, hivi hakuna alternative way nayoweza kutumia zaidi ya hiyo?
Mm nilitumia mbinu hiyo kukaushia wote isipokuwa wa familia yangu tu,usiogope kuchukiwa,kazi ni Yako Hakuna wa kukupangia mwisho wa cku ukiwa maskini hao hao ndio wataanza kukucheka nakushangaa unavyoonea huruma watu na maisha yao,kwani kabla hujaajiriwa hawakuwa wanaishi? SORT THEM OUT
 
Hawa ndugu zangu wana lawama balaa usipo wageia kidogo ni matatizo ila sasa imefikia point na mimi nimechoka kutegemewa kwa kila kitu sasa make naona ndoto zangu hazitotimia kwa mwendo huu ila sasa nifanyeje kuepukana na hii hali kiasi kwamba uamuzi wangu usimkere wala kumuumiza mtu? Shida ndo iko hapo
Waambie Kuna Mambo unafanya hela yote inaishia humo,au waambie una mkopo
 
Napitia changamoto kama zako lakini kuna tofauti kidogo mimi hua sitoi. Kama sioni umuhimu... kwa mfano mtu anakuomba hela ya mchango wa harusi ya rafiki ake,, mtu anaomba umchangie ada ya mwanae( sijawahi kuchangiwa ada) ,,,,mtu anaomba mlime wote katikati ya mchezo anakupiga( mama mkubwa) ...yote hii ni kukurudisha kwenye vicious circles of poverty
 
Unaamua uanze kujenga unahifadhi mifuko ya saruji unakuta imepungua unauliza unaambiwa flani alichukua amesema atarudisha (kumbuka alichukua bila taarifa) undugu unaanza kunishinda
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..ningeshangaa mtoto wa mujini unashindwaje kumtoka
Haniwezi hata kdg
Tungeenda hko angebaki yeye
Mke wke sahv ndy anaitaaka anasema zawadi alimchkulia mme wke [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Shida so ndugu zako shida iko kwako ivi ukiwa unapigwa vibao na MTU mwingine kila siku akikukuta anakupiga wewe unalia tu hufanyi lolote ata kukimbia hukimbii unaisi ataacha kukupiga kwa kumtolea kilio chako ataendelea kila Mara akuonapo sasa jukumu ni lako kujipanga ukabiliane naye au umkwepe msikutane the choice is on you're hand kama huna uwezo wa kumkabili MTU. Mkwepe ipo Siku utapata ujasiri wa kumkabili inaonekana bado akili yako ina utamaduni ya kiujamaa utakufa unajiona na hakuna atakaye kuangalia siku unapata tatizo
Siku ukioa ukawa na majukumu ukajua kujibana
Watamchukia sana mkeo
Lawama mpaka kero sjui wanataka maisha yako uishi kama wao! Ukiwa na ndugu ambao siyo waelewa ni shida sana
 
Shida so ndugu zako shida iko kwako ivi ukiwa unapigwa vibao na MTU mwingine kila siku akikukuta anakupiga wewe unalia tu hufanyi lolote ata kukimbia hukimbii unaisi ataacha kukupiga kwa kumtolea kilio chako ataendelea kila Mara akuonapo sasa jukumu ni lako kujipanga ukabiliane naye au umkwepe msikutane the choice is on you're hand kama huna uwezo wa kumkabili MTU. Mkwepe ipo Siku utapata ujasiri wa kumkabili inaonekana bado akili yako ina utamaduni ya kiujamaa utakufa unajiona na hakuna atakaye kuangalia siku unapata tatizo

Naona umependa kuniqoute🤣🤣🤣
Mwache afulie kwanza then atarudi kuomba ushauri
 
Hama apo ulipo ndugu kama unaishi mkoa wa ulipozaliwa na ni kazi ya kuweza kuamishwa embu amia mkoa tofauti ndugu ni virusi wanakukula taratibu
Unaamua uanze kujenga unahifadhi mifuko ya saruji unakuta imepungua unauliza unaambiwa flani alichukua amesema atarudisha (kumbuka alichukua bila taarifa) undugu unaanza kunishinda
 
Naona umependa kuniqoute[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwache afulie kwanza then atarudi kuomba ushauri
Hahaha atakuja kusema ndugu wamenifilisi wakati kajifilisi
 
Back
Top Bottom