Ndugu wana jf hodi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu wana jf hodi

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by mkulimamwema, May 5, 2011.

 1. m

  mkulimamwema Senior Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi naitwa mkulimamwema nimewaleteeni magimbi,matango na mihogo maana mna kasumba ya kutokuja kutusalimia kijijini na nimekuja mnipe hela nikanunue dawa ya wadudu wanaoharibu mazao maana mwaka huu tumelima shamba kubwa na bibi yenu.
   
 2. d

  dorry Senior Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Karibu kwetu mkulima mwema, uje kwa amani na ukae kwa amani mpaka utakapoamua kurudi kijijini. Ukiwa hapa kwetu uwe makini na uwe mwerevu sana maana hapa kwetu kuna furaha na karaha, na dada na kaka wajomba na wapwa zako unawajua vizuri tabia zao!. Na muda wa kurudi kijijini ukifika usijali kama umepata mbegu bora, mbolea ya kisasa au dawa ya magugu au la hujapata. Rudi tu kijijini kaendelee na staili yako ya kawaida ya kilimo. Naomba tu usiwe mkulima mla mbegu.

  Karibu sana.
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Karibu sana mzee wa kilimo kwanza
   
 4. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  karibu sana mgeni mwenzangu!
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Karibu sana mkulima mwema,usilje kula mbegu.
   
 6. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Karibu bana! Lete mchanyato wa magimbi na hoja tamutamu basi.
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  May 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Karibu sana mkulimamwema!
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  karibu sana, hapa jamvini:
  Welcome Note: Hapa huwa tunagongeana thanx, like n.k kama unavyoziona, ukipenda point usisite kusupply hivyo vitu. Kikubwa zaidi tunaavoid sana mambo ya udini,ukabila,ushoga na mengineyo...mengine utayajua tu siku za usoni.
  Ukipenda sana kuomba hela utakuwa na elements za kifisadi,akina RACHEL watakununua ukawa huna maana,coz utakuwa huna utu bali kuwatumikia makafiri...!!
   
Loading...