Mkuu sijasema hatakiwi kuonewa huruma, ila aonewe huruma huku tukikumbuka kua alikua sehemu ya huu uovu unao endelea sasa.Kwa hiyo Polepole hatakiwi kuonewa huruma?
Kwa hiyo maridhiano yanaanza kutekelezwa wenyewe kwa wenyewe kabla hayajatoka nje ya sisiemuNasikia Ndejembi anaenda kesho kumtembelea mama mzazi wa Humphrey Polepole
Majitu mnayajua mnashindwa ku target ata watoto/mke wakeNilivyomuona Rasta akimpandisha kwenye Land Cruiser yule Dada Rose pale Mlimani City nikajua tayari wanapenda kununua.
Tena muuaji atakuwa huyo RASTA au yule jamaa aliyepanda mlango wa nyuma amevaa maski na ana SMG
Maskini Rose.
Yaani mnajua kabisa Group leader waliomchukua Polepole ni Mafwele lakini mnashindwa kukabiliana na huyo kibaka, Mafwele ana ulinzi gani? Kama Trump kuwa na secret service ila alikoswa kidogoInaumiza sana mkuu. Ilianza Ben kama masikhara, wakamfikia Balozi, hapo hatujawaongelea wengine wengi ambao bado haijulikani walipo.
Hii siongei kufurahisha genge, ni kwa vile tuna misingi ya kazi na ustahimilivu, nilitamani nimpige hata ndonga moja potelea mbali najua fwele boy atakabidhiwa ashughulike na mimi ila ntakua nimemwachia maumivu boss wao. Shida nikasema kama ningekua na uhakika nikipiga wanaweka maturubai kwao, ningeweza kushawishika adhma ya kimoyo moyo ijidhihirishe kwa vitendo.
Kwakweli nafikiri nimeathirika kisaikolojia, napata shida sana kuwa mtulivu kila nikikutana na polisi, inabidi nitumie nguvu ya ziada kuwa calm.
Polepole alishauawa maana Vyombo vyote vimeshasema hawajamshikilia.Ndugu Watanzania!
Usiku huu nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu ambaye ni mmoja wa ndugu wa Mhe. Balozi Humphrey Polepole. Nimebadilisha initials au utambulisho wake kwa sababu za kiusalama. Suala la Polepole lina simanzi isiyoisha, hivyo hatuwezi kupuuzia minong'ono yoyote kuhusu wapi alipo.
Kwa kuwa hakuna mamlaka iliyowahi kusema kuwa inamshikilia, umma umebaki kukisia na kuokoteza taarifa ikiyumkini inaweza kutokea taarifa iliyobeba ukweli. Kwa sababu hiyo hiyo ni vigumu kwa askofu kwenda kumuulizia au kumtafuta Polepole katika mamlaka yoyote ile.
Hata hivyo, nauweka ujumbe huo hapa kwa ajili kuleta hamasa ya maombi ili kumuombea hata kumpazia sauti zaidi yumkini wanaomshikilia wanaweza kuzidiwa au kuogopa kelele nyingi.
Tukikata tamaa na kuacha kupiga kelele juu ya Balozi Humphrey Polepole hata wengine kama Dioniz Kipanya, Deusdedith Soka, Kaswahili, Chaula, Mbise, Mlay, nk tutarajie watu wengi zaidi kuendelea kutekwa na kupotezwa katika siku za kwenye kipanda uso.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 5 Agosti 2026; Saa 7:35 usiku
UJUMBE KUTOKA NDUGU WA POLEPOLE!
Nakusalimu Baba Askofu Mwamakula!
Nisamehe nakuandikia usiku. Nimeona taarifa mtandaoni, ina viashiria kuna ukweli katika hili. Ikupendeze na iwe ni vyema kwako ninaomba uende Ukonga ili kusudi ukamuone Mhe. Balozi Humphrey Polepole, kwa maelekezo ya ujumbe wa mitandaoni kuwa Polepole yupo Ukonga!
Ni mimi K. L. P.,
Ndugu yake na Humphrey Polepole.
5 Septemba 2026View attachment 3663657
Yule dangwa walishammaliza?!Pengine bado hawajakubaliana wamfanye nini.. Kumbuka zile updates za Rachel Dangwa (Rip)
Mindset ya kuamini kwamba aliyekuwa adui yako akibadili mwelekeo na kuwa adui wa adui yako anabaki kuwa adui yako inatengeneza alert kuwa ukiasi unabaki peke yako. Hii inashawishi umoja zaidi wa maadui zako sababu wanajua huku kwako wakija wataachwa peke yao.Mkuu sijasema hatakiwi kuonewa huruma, ila aonewe huruma huku tukikumbuka kua alikua sehemu ya huu uovu unao endelea sasa.
Hii iwafunze hata walioko kwenye huu utekelezaji wa huu ushenzi kua inawezekana na wao yakawakuta ya polepolee. Lazima hili wazingatie hili.
Nasikia Ndejembi anaenda kesho kumtembelea mama mzazi wa Humphrey Polepole
Mkuu sahii. Ila swali ni moja tuu aliyekua adui yako akija upande wako. Kichwani kwako utasahau kua akiwahi kua adui na alikuumiza?.Mindset ya kuamini kwamba aliyekuwa adui yako akibadili mwelekeo na kuwa adui wa adui yako anabaki kuwa adui yako inatengeneza alert kuwa ukiasi unabaki peke yako. Hii inashawishi umoja zaidi wa maadui zako sababu wanajua huku kwako wakija wataachwa peke yao.
Yaani aiseeJiwe ndio chanzo cha uovu wotee huuu
Kweli adui wa binadamu ni binadamu!Ndugu Watanzania!
Usiku huu nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu ambaye ni mmoja wa ndugu wa Mhe. Balozi Humphrey Polepole. Nimebadilisha initials au utambulisho wake kwa sababu za kiusalama. Suala la Polepole lina simanzi isiyoisha, hivyo hatuwezi kupuuzia minong'ono yoyote kuhusu wapi alipo.
Kwa kuwa hakuna mamlaka iliyowahi kusema kuwa inamshikilia, umma umebaki kukisia na kuokoteza taarifa ikiyumkini inaweza kutokea taarifa iliyobeba ukweli. Kwa sababu hiyo hiyo ni vigumu kwa askofu kwenda kumuulizia au kumtafuta Polepole katika mamlaka yoyote ile.
Hata hivyo, nauweka ujumbe huo hapa kwa ajili kuleta hamasa ya maombi ili kumuombea hata kumpazia sauti zaidi yumkini wanaomshikilia wanaweza kuzidiwa au kuogopa kelele nyingi.
Tukikata tamaa na kuacha kupiga kelele juu ya Balozi Humphrey Polepole hata wengine kama Dioniz Kipanya, Deusdedith Soka, Kaswahili, Chaula, Mbise, Mlay, nk tutarajie watu wengi zaidi kuendelea kutekwa na kupotezwa katika siku za kwenye kipanda uso.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 5 Agosti 2026; Saa 7:35 usiku
UJUMBE KUTOKA NDUGU WA POLEPOLE!
Nakusalimu Baba Askofu Mwamakula!
Nisamehe nakuandikia usiku. Nimeona taarifa mtandaoni, ina viashiria kuna ukweli katika hili. Ikupendeze na iwe ni vyema kwako ninaomba uende Ukonga ili kusudi ukamuone Mhe. Balozi Humphrey Polepole, kwa maelekezo ya ujumbe wa mitandaoni kuwa Polepole yupo Ukonga!
Ni mimi K. L. P.,
Ndugu yake na Humphrey Polepole.
5 Septemba 2026View attachment 3663657
Kama alilenga hilo alikosea. Maana watakuwa wamemuumiza sana wakiitafuta chip hiyo.kujaribu kuwatisha waliomteka.
Watekaji? Sidhani kama watekaji ni wajinga kiasi cha kuamini hili. Na hata kama kama mtu nayo kuna njia za kitaalam za kutambua bila kumuumiza.Kama alilenga hilo alikosea. Maana watakuwa wamemuumiza sana wakiitafuta chip hiyo.
Ninani huyo?Jamaa ni pande la mtu kaenda hewani kichwa kinaonekana kimezidi kiti chake, na alikua business class. Tulijikuta tunazizamana hadi napita kiti chake na sikupepesa macho na yeye akawa ananiangalia machoni, nafikiri aliweza kusoma baadhi ya viashiria vya chuki na matamanio yangu ya ndani kwamba kwanini napita bila kufanya chochote?
Kanda maalum ya DaslamNinani huyo?
Mpaka sasa kwa ukimya huu ni soo kubwa zaidiKweli inakanganya ila siamini kama kweli Yuko hai mpaka Sasa maana kama Yuko ukonga utawala mwingine ukija si utamtoa? Halafu itakuwa Soo kubwa zaidi?