Ndugu wa Polepole ateta na Askofu!

hahahahaha ulimalizana nae kimyo moyo, ila tuache yote familia ya pole pole haiko sawa mpk sasa,bora hata wangepewa mwili kama kauwawa
Inaumiza sana mkuu. Ilianza Ben kama masikhara, wakamfikia Balozi, hapo hatujawaongelea wengine wengi ambao bado haijulikani walipo.

Hii siongei kufurahisha genge, ni kwa vile tuna misingi ya kazi na ustahimilivu, nilitamani nimpige hata ndonga moja potelea mbali najua fwele boy atakabidhiwa ashughulike na mimi ila ntakua nimemwachia maumivu boss wao. Shida nikasema kama ningekua na uhakika nikipiga wanaweka maturubai kwao, ningeweza kushawishika adhma ya kimoyo moyo ijidhihirishe kwa vitendo.

Kwakweli nafikiri nimeathirika kisaikolojia, napata shida sana kuwa mtulivu kila nikikutana na polisi, inabidi nitumie nguvu ya ziada kuwa calm.
 
Jamaa ni pande la mtu kaenda hewani kichwa kinaonekana kimezidi kiti chake, na alikua business class. Tulijikuta tunazizamana hadi napita kiti chake na sikupepesa macho na yeye akawa ananiangalia machoni, nafikiri aliweza kusoma baadhi ya viashiria vya chuki na matamanio yangu ya ndani kwamba kwanini napita bila kufanya chochote?
 
mimi balozi inaniuma cz alikua school mate wangu na pia tulikua nae ktk NGO fulani hv ,so kutekwa kwake maumivu ninayo
 
RIP Polepole chawa aliyejitia ujanja wajanja wakukuwahi. Ulijjitakia hayo mwenyewe wala mie sikuhurumie ufe usife hainihusu.
 
Jambo la heri kama sasa wameamua kumweka Mahali pawazi, baada ya juhudi ovu kushindwa
 
Nasikia Ndejembi anaenda kesho kumtembelea mama mzazi wa Humphrey Polepole
 

Nilivyomuona Rasta akimpandisha kwenye Land Cruiser yule Dada Rose pale Mlimani City nikajua tayari wanapenda kununua.

Tena muuaji atakuwa huyo RASTA au yule jamaa aliyepanda mlango wa nyuma amevaa maski na ana SMG

Maskini Rose.
 
Kwamba polepole yupo tu ukonga nakataa kabisa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…