Ndugu wa kweli mama na baba yako tu!

Ndugu wa kweli mama na baba yako tu!

My dear geni pole sana kwa maswahiba hayo. Ndivo tulivo wanadamu hasa wale wa karibu yako. Waliosema adui wamtu ni wakaribu nae ama kikulacho kinguoni mwako hawakukosea....

Niungane na wote waliosema ufatilie haki yako mbele ya sheria.

Vinginevo kama utaamua kusamehe mwachie Mungu afanye kazi yake malipo ni hapahapa duniani na jasho lamtu haliliwi...

Chukulia hiyo ni changamoto kama mitihani mingine tu ya kukusaidia kuvuka sehemu moja kwenda nyingine.

Hawajakukata mikono wala miguu maadam unaviungo vyako vyote timilifu basi amini ndo wamekuongezea nguvu na ari ya kutafuta vingi zaidi ya kile ulichopoteza...

Haki yamtu sikuzote haidhulumiwi. Amini iko siku haki yako itapatikana... Amani ya kristo itawale moyoni mwako mpenzi
 
Tusilee ugonjwa kwa kuacha watu wa aina hii waendelee kupeta !
Tafutamtu say mwanaume ajifanye either ni partner wako au rafiki ambaye alikukopa au mlinunua pamoja ili yy awe mbele ktk mashambulizi.

Sijui upo wapi lkn hata mm naweza jitolea kununua hiyo kesi ili pesa yako irudi au angalau waji commit kurudisha !!

Njoo inbox tushauriane, nitakusaidia bure sihitaji chochote.

Habarini!

Mwenzenu yamenikuta Mimi mtoto wa marehemu mama!Leo kwa Mara nyingine tena nimeona umuhimu wa kua na mama yangu mzazi duniani
Nimedhulumiwa na ndugu kabisa wa mama yangu(mdogo wake wa mwisho)

Nilimuamini akaniuzia Kiwanja na madokumenti yotee yalikuwepo kumbe yeye na mumewe matapeli watupu wa mjini hapa

Kapesa kangu mwenyewe nilikapata baada ya kuuza kabebi'woka'changu baada ya gharama za maisha kupanda auntie akaniambia ana viwanja nikaingia 'kingi'nikajaa nikalia pesa yoteee..

Ingine nikannua huko kinyerezi kwa mtu baki nisiemjua kipo salama

Huku leo nimeenda mmiliki kafyeka eneo na kulilima nikifika kumuambia anasema hajui chochote kile kinachoendelea juu ya mauziano na yeye ndo mhusika wa pale

Kumpigia simu kumuuliza ma mdogo'anauma uma mdomo tu'loohhh!![emoji26] [emoji26] [emoji26]

Ndugu hawa sina hamu nao ama kweli'zimwi likujualo halikuli likawisha'

Naumia jamani,au kwa kua wameniona mtoto wa kike?
Au kwa kua nguzo yangu haipo?
Au kajua siwezi kumshtaki na kumfunga?
Mpaka presha ilishuka Leo mwenzenuu!!!

Bora nisingeuza kumbe kibebi woka changu ningeacha kife tu nifanye screpa au ile pesa bora ningejenga heshima 'Mlimani city,shoppers plaza na kariakoo'

Nishaurini jamani nifanyeje'nna huzuni mno I wish my mom would be alive anifariji'nimeenda makaburini nimeliaa Leo kama ndo amekufa sasa hivi!

Ndugu wabaya jamani!
 
sorry for hardtime lady , inanikumbusha yule mama aliyeenda kwa muheshimiwa kudai mirarhi yake aliyodhulumiwa nadhani ni the same case, nahsi ungefata sheria ungepata haki yako,

* sababu ndugu wakishaonaga mmiliki mali ni mwanamke asee huwanga hawana simile lazima wafanye tik tak, you have to start a new beginning though its hard to start a fresh as you and to hold the past but with exclude hao nduguzoo

*nliskianga ndugu wa mume ni wana Gubu kumbe hata wa kwa mama
 
Habarini!

Mwenzenu yamenikuta Mimi mtoto wa marehemu mama!Leo kwa Mara nyingine tena nimeona umuhimu wa kua na mama yangu mzazi duniani
Nimedhulumiwa na ndugu kabisa wa mama yangu(mdogo wake wa mwisho)

Nilimuamini akaniuzia Kiwanja na madokumenti yotee yalikuwepo kumbe yeye na mumewe matapeli watupu wa mjini hapa

Kapesa kangu mwenyewe nilikapata baada ya kuuza kabebi'woka'changu baada ya gharama za maisha kupanda auntie akaniambia ana viwanja nikaingia 'kingi'nikajaa nikalia pesa yoteee..

Ingine nikannua huko kinyerezi kwa mtu baki nisiemjua kipo salama

Huku leo nimeenda mmiliki kafyeka eneo na kulilima nikifika kumuambia anasema hajui chochote kile kinachoendelea juu ya mauziano na yeye ndo mhusika wa pale

Kumpigia simu kumuuliza ma mdogo'anauma uma mdomo tu'loohhh!![emoji26] [emoji26] [emoji26]

Ndugu hawa sina hamu nao ama kweli'zimwi likujualo halikuli likawisha'

Naumia jamani,au kwa kua wameniona mtoto wa kike?
Au kwa kua nguzo yangu haipo?
Au kajua siwezi kumshtaki na kumfunga?
Mpaka presha ilishuka Leo mwenzenuu!!!

Bora nisingeuza kumbe kibebi woka changu ningeacha kife tu nifanye screpa au ile pesa bora ningejenga heshima 'Mlimani city,shoppers plaza na kariakoo'

Nishaurini jamani nifanyeje'nna huzuni mno I wish my mom would be alive anifariji'nimeenda makaburini nimeliaa Leo kama ndo amekufa sasa hivi!

Ndugu wabaya jamani!

Unajua ndugu wakati mwingine huofia hizo mali zitzkuja kuchkuliwa na mpenzi wako eiyher kukudhulumu sababu ya kumpenda sana , na wakikwambia wataona utawakatalia wakaamua watumia shortcut na huwa ni longcut wakachkua mali
 
Pole kwa Yaliyokukuta....You only live once... Forgive and Forget and move on..Jipange Upya and delete unnecessary people in your life..

Sorry For your Loss...RIP to Mom
 
yule amefanya kwa tamaa tu wala sio kwa hofu
she knows very well that I have kids and I do fight for them to core
she was to be honest to me rather than put me down
 
My dear geni pole sana kwa maswahiba hayo. Ndivo tulivo wanadamu hasa wale wa karibu yako. Waliosema adui wamtu ni wakaribu nae ama kikulacho kinguoni mwako hawakukosea....

Niungane na wote waliosema ufatilie haki yako mbele ya sheria.

Vinginevo kama utaamua kusamehe mwachie Mungu afanye kazi yake malipo ni hapahapa duniani na jasho lamtu haliliwi...

Chukulia hiyo ni changamoto kama mitihani mingine tu ya kukusaidia kuvuka sehemu moja kwenda nyingine.

Hawajakukata mikono wala miguu maadam unaviungo vyako vyote timilifu basi amini ndo wamekuongezea nguvu na ari ya kutafuta vingi zaidi ya kile ulichopoteza...

Haki yamtu sikuzote haidhulumiwi. Amini iko siku haki yako itapatikana... Amani ya kristo itawale moyoni mwako mpenzi
ameen switie..ntaufanyia kazi ushauri wako yaani km kuna mtu nilimuamini ni yeye sikutegemea tena nilikuwa nataka ninnue viwili sehemu ingine Ila nkasema hapana ntadhulumiwa bora ninnue kwa ndugu ninaemuamini kumbe naingia Motoni
 
Pole kwa Yaliyokukuta....You only live once... Forgive and Forget and move on..Jipange Upya and delete unnecessary people in your life..

Sorry For your Loss...RIP to Mom
thank uu
 
Hapo n kwel inauma but fanya ivii kamshatk polisi au nenda kwenye kile chama cha wanasheria wa kike wale watasimamia show ipasavyo maana huo n wizii usiogope kama mbwai iwe mbwai tooo usiogope kudai haki yakooo hao sio ndugu wangenifanyia mm wangeisoma namba tena na usawa huuu shubaaaamiti...
 
Pole sana ila kama mimi hapo patachimbika hali yenyewe hii! labda angekuwa baba au mama...
 
Biashara na ndugu ni ngumu sana lazima undugu ufe au uamue kusamehe

Pole sana
 
Ndugu wamekuwa majambazi hasa nyakati hizi. Wanashirikiana vizuri sana kuibia ndugu zao kwa kila njia. Upande wangu wapo couple wasanii balaa! Kila ndugu waliyemkopa vitu wakijidai wananunua kwa mkopo hawamlipi na wanashirikiana kupotezea, kushambulia na wana majibu ya kunya. Lakini maovu hulipwa kwa njia nyingi na tayari wanalipa japo inawezekana hawajagundua mabalaa yanayowakumba yanatokana na nini. Pole mwee, tupo wengi tuliotapeliwa na ndugu.
 
Attachments

  • a9525654e8e3b59c5019212a7e23af1c.jpg
    a9525654e8e3b59c5019212a7e23af1c.jpg
    27.9 KB · Views: 57
Back
Top Bottom