Ndugu wa kweli mama na baba yako tu!

Ndugu wa kweli mama na baba yako tu!

Pole aisee ila pia na ubinadamu unahitajika mana kwa idadi yote hiyo hapo sijui atamlipa nani na kumuacha nani
alishawekwa lock up na hao wengine km wiki mbili hivi ndugu zake wakamtoa Ila mm sikufatilia kujua reason behind him to be in bars

leo ndo nasimuliwa na mmiliki wa eneo yote hayo
 
Habarini!

Mwenzenu yamenikuta Mimi mtoto wa marehemu mama!Leo kwa Mara nyingine tena nimeona umuhimu wa kua na mama yangu mzazi duniani
Nimedhulumiwa na ndugu kabisa wa mama yangu(mdogo wake wa mwisho)

Nilimuamini akaniuzia Kiwanja na madokumenti yotee yalikuwepo kumbe yeye na mumewe matapeli watupu wa mjini hapa

Kapesa kangu mwenyewe nilikapata baada ya kuuza kabebi'woka'changu baada ya gharama za maisha kupanda auntie akaniambia ana viwanja nikaingia 'kingi'nikajaa nikalia pesa yoteee..

Ingine nikannua huko kinyerezi kwa mtu baki nisiemjua kipo salama

Huku leo nimeenda mmiliki kafyeka eneo na kulilima nikifika kumuambia anasema hajui chochote kile kinachoendelea juu ya mauziano na yeye ndo mhusika wa pale

Kumpigia simu kumuuliza ma mdogo'anauma uma mdomo tu'loohhh!![emoji26] [emoji26] [emoji26]

Ndugu hawa sina hamu nao ama kweli'zimwi likujualo halikuli likawisha'

Naumia jamani,au kwa kua wameniona mtoto wa kike?
Au kwa kua nguzo yangu haipo?
Au kajua siwezi kumshtaki na kumfunga?
Mpaka presha ilishuka Leo mwenzenuu!!!

Bora nisingeuza kumbe kibebi woka changu ningeacha kife tu nifanye screpa au ile pesa bora ningejenga heshima 'Mlimani city,shoppers plaza na kariakoo'

Nishaurini jamani nifanyeje'nna huzuni mno I wish my mom would be alive anifariji'nimeenda makaburini nimeliaa Leo kama ndo amekufa sasa hivi!

Ndugu wabaya jamani!
Pole sana lay low relax, God will give you strength and remember tough times never last in life but tough people like you always do. wako nakupendae stay strong
 
Pole sana lay low relax, God will give you strength and remember tough times never last in life but tough people like you always do. wako nakupendae stay strong
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] thank uu!!

japo ni kusahau mapema ni pagumu sana
 
YAANI UMETAPELIWA KIWANJA TUU UNAUMIA NAMNA HIYO SHUKURU MUNGU TUU

NDUGU YANGU KUNA WATU WANADHULUMIWA MASHAMBA,KAMPUNI NYUMBA MPAKA LEO HII HAWANA SEHEMU YA KULALA
 
Habarini!

Mwenzenu yamenikuta Mimi mtoto wa marehemu mama!Leo kwa Mara nyingine tena nimeona umuhimu wa kua na mama yangu mzazi duniani
Nimedhulumiwa na ndugu kabisa wa mama yangu(mdogo wake wa mwisho)

Nilimuamini akaniuzia Kiwanja na madokumenti yotee yalikuwepo kumbe yeye na mumewe matapeli watupu wa mjini hapa

Kapesa kangu mwenyewe nilikapata baada ya kuuza kabebi'woka'changu baada ya gharama za maisha kupanda auntie akaniambia ana viwanja nikaingia 'kingi'nikajaa nikalia pesa yoteee..

Ingine nikannua huko kinyerezi kwa mtu baki nisiemjua kipo salama

Huku leo nimeenda mmiliki kafyeka eneo na kulilima nikifika kumuambia anasema hajui chochote kile kinachoendelea juu ya mauziano na yeye ndo mhusika wa pale

Kumpigia simu kumuuliza ma mdogo'anauma uma mdomo tu'loohhh!![emoji26] [emoji26] [emoji26]

Ndugu hawa sina hamu nao ama kweli'zimwi likujualo halikuli likawisha'

Naumia jamani,au kwa kua wameniona mtoto wa kike?
Au kwa kua nguzo yangu haipo?
Au kajua siwezi kumshtaki na kumfunga?
Mpaka presha ilishuka Leo mwenzenuu!!!

Bora nisingeuza kumbe kibebi woka changu ningeacha kife tu nifanye screpa au ile pesa bora ningejenga heshima 'Mlimani city,shoppers plaza na kariakoo'

Nishaurini jamani nifanyeje'nna huzuni mno I wish my mom would be alive anifariji'nimeenda makaburini nimeliaa Leo kama ndo amekufa sasa hivi!

Ndugu wabaya jamani!
Wabaya na waovu
 
Pole sana mami. Dai haki yako hadi mwisho acha undugu ufe maana yeye mwenyewe ndio kasababisha kuuvunja....undugu kufaana na sio kufanana ameshatia doa kwenye undugu huo
 
Inauma lakini msamehe ila punguza ule ukaribu uliokua nae. Ninachoamini jasho la mtu haliendi bure, kuna njia ambayo pesa yako itarudi bila wewe kufahamu.
wanawake mna huruma za hatari
btw geniveros kama umeamua kumsamehe msamehe tu usimseme vibaya mbele za watu ni zambi kwa mungu
kama unataka haki yako zipo sehemu sahihi za kuitafuta na utaipata tena kwa wakati
pia kulialia haikusaidii kitu you have to move on
pole sana
 
No worry honey... I will always be there for you...

Unajua ardhi ndio kaburi??? Hawajui wamekudhulumu makaburi yao wenyewe...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji8] [emoji8] thank uu switie for u this...!!!
 
Mm watu wa hivyo huwa nawakomesha tu. Wapeleke mahakamani watakulipa hiyo hela yote na ya usumbufu. Ukiwaachia watakucheka tu cha msingi komaa nao mpaka hela irudi. Pumbf kabisa hao
 
Back
Top Bottom