Ndugu wa kweli mama na baba yako tu!

Pole sana. Amina ndugu yako ni baba na mama yako wengine wasindikizaji. Mfungulie mashtaka akulipe pesa kama mbwai na iwe hivyo
 
jf is my family u don't know how much relief I'm having right now after posting this...
u guys right this forum ni zaidi ya ndugu aiseehh!I've even started to be normal baada ya michango yenu
wanawake mna huruma za hatari
btw geniveros kama umeamua kumsamehe msamehe tu usimseme vibaya mbele za watu ni zambi kwa mungu
kama unataka haki yako zipo sehemu sahihi za kuitafuta na utaipata tena kwa wakati
pia kulialia haikusaidii kitu you have to move on
pole sana
hahaaaa....!!!ndo unaelekea kufa huko maana dah usawa huu!!
Pole sana mami. Dai haki yako hadi mwisho acha undugu ufe maana yeye mwenyewe ndio kasababisha kuuvunja....undugu kufaana na sio kufanana ameshatia doa kwenye undugu huo
 
Habarini!

Mwenzenu yamenikuta Mimi mtoto wa marehemu mama!Leo kwa Mara nyingine tena nimeona umuhimu wa kua na mama yangu mzazi duniani
Nimedhulumiwa na ndugu kabisa wa mama yangu(mdogo wake wa mwisho)

Nilimuamini akaniuzia Kiwanja na madokumenti yotee yalikuwepo kumbe yeye na mumewe matapeli watupu wa mjini hapa

Kapesa kangu mwenyewe nilikapata baada ya kuuza kabebi'woka'changu baada ya gharama za maisha kupanda auntie akaniambia ana viwanja nikaingia 'kingi'nikajaa nikalia pesa yoteee..

Ingine nikannua huko kinyerezi kwa mtu baki nisiemjua kipo salama

Huku leo nimeenda mmiliki kafyeka eneo na kulilima nikifika kumuambia anasema hajui chochote kile kinachoendelea juu ya mauziano na yeye ndo mhusika wa pale

Kumpigia simu kumuuliza ma mdogo'anauma uma mdomo tu'loohhh!!

Ndugu hawa sina hamu nao ama kweli'zimwi likujualo halikuli likawisha'

Naumia jamani,au kwa kua wameniona mtoto wa kike?
Au kwa kua nguzo yangu haipo?
Au kajua siwezi kumshtaki na kumfunga?
Mpaka presha ilishuka Leo mwenzenuu!!!

Bora nisingeuza kumbe kibebi woka changu ningeacha kife tu nifanye screpa au ile pesa bora ningejenga heshima 'Mlimani city,shoppers plaza na kariakoo'

Nishaurini jamani nifanyeje'nna huzuni mno I wish my mom would be alive anifariji'nimeenda makaburini nimeliaa Leo kama ndo amekufa sasa hivi!

Ndugu wabaya jamani!
Pole sana sana!
 
Poleeee!
By the way Baba na Mama yake sio Ndugu zako nao wana ndugu zao ila sio wewe, huyo Mama yako mdogo ndo Ndugu ya Mama yako, Ndugu zako unao!
 
jf is my family u don't know how much relief I'm having right now after posting this...
u guys right this forum ni zaidi ya ndugu aiseehh!I've even started to be normal baada ya michango yenu

hahaaaa....!!!ndo unaelekea kufa huko maana dah usawa huu!!
karibu
 
Habarini!

Mwenzenu yamenikuta Mimi mtoto wa marehemu mama!Leo kwa Mara nyingine tena nimeona umuhimu wa kua na mama yangu mzazi duniani
Nimedhulumiwa na ndugu kabisa wa mama yangu(mdogo wake wa mwisho)

Nilimuamini akaniuzia Kiwanja na madokumenti yotee yalikuwepo kumbe yeye na mumewe matapeli watupu wa mjini hapa

Kapesa kangu mwenyewe nilikapata baada ya kuuza kabebi'woka'changu baada ya gharama za maisha kupanda auntie akaniambia ana viwanja nikaingia 'kingi'nikajaa nikalia pesa yoteee..

Ingine nikannua huko kinyerezi kwa mtu baki nisiemjua kipo salama

Huku leo nimeenda mmiliki kafyeka eneo na kulilima nikifika kumuambia anasema hajui chochote kile kinachoendelea juu ya mauziano na yeye ndo mhusika wa pale

Kumpigia simu kumuuliza ma mdogo'anauma uma mdomo tu'loohhh!!

Ndugu hawa sina hamu nao ama kweli'zimwi likujualo halikuli likawisha'

Naumia jamani,au kwa kua wameniona mtoto wa kike?
Au kwa kua nguzo yangu haipo?
Au kajua siwezi kumshtaki na kumfunga?
Mpaka presha ilishuka Leo mwenzenuu!!!

Bora nisingeuza kumbe kibebi woka changu ningeacha kife tu nifanye screpa au ile pesa bora ningejenga heshima 'Mlimani city,shoppers plaza na kariakoo'

Nishaurini jamani nifanyeje'nna huzuni mno I wish my mom would be alive anifariji'nimeenda makaburini nimeliaa Leo kama ndo amekufa sasa hivi!

Ndugu wabaya jamani!
Hilo dogo mama kunamwenzako alikuwa uarabuni akawa anatuma hela kwa Dada ake amjengee nyumba alipokuja tz hata kiwanja hakukuta sina hakika Kama walisameheana maana hadi Mzee wao anakata roho Juhudi za kuwapatanisha ziligonga mwamba
 
lazima udugu ufee hapo yaani mubashara weee!!yaani mm nlivyo na presha ya kushuka hivi Leo yenyewe 'nilifloti'
kuna mandugu ni malusifa kabisa yaani
 
Nishaurini jamani nifanyeje'nna huzuni mno I wish my mom would be alive anifariji'nimeenda makaburini nimeliaa Leo kama ndo amekufa sasa hivi!

Kama alivyosema [HASHTAG]#sky eclat[/HASHTAG] achana naye huyo. Relax kabisa; assume umeachwa na ndege lakini sio kuwa kesho yake hakuna flight. Sikiliza sana music na kutazama television.

Remember we learn through mistakes. Chukulia hiyo ni lesson na make sure haitokei tena.

La mwisho kabisa: please monitor your pressure and/ or consult a medical doctor.
 
mkiambiwa muolewe

muwe na ubavu wenu mkuu mnakataa

madhara yake ndo hya,.,.

pole..
 
vyote vilikuwepo Ila mashahidi ndo walikua wawili wadogo zangu pale serikali ya mtaa alikua na watu wake wote matapeli..yaani jamani acha tu
Pole sana mdau. Mwenyenzi Mungu atakushindia Maumivu yako. Utatambua sasa adui wa MTU ni wanyymbani awezae kukumiza moyo.. Ktk kufikiri hayo

Ni Mungu Peke yake.
 
Duuuh pooleh sana mdada utu umepotea siku hizi kila mtu ana angalia nafsi yake calm down an take heart ur going to a battle an victory will follow you. Prayers are important to
 
Back
Top Bottom