Ndugu wa kweli mama na baba yako tu!

Ndugu wa kweli mama na baba yako tu!

Pole sana. Bora hata ndugu wa kuzaliwa nao lakini hawa sijui mtoto wa shangazi sijui mama mdogo, hatari sana

Caveat emptor
 
Usifanye biashara na ndugu yako, usipende kukopeshana na ndugu yako, pesa inaweza kuleta matatizo hadi undugu kuingia mashakani...maneno ya baba yangu sitakaa niyasahau.

Pole sana Geni!!
huruma yangu imeniponza nilinunua ili nimsaidie kumtibia mama mkwe mamdogo na eneo zuri na yuko full documented

kaka acha tu!kweli mjini hakuna mwenyewe!
 
Mimi huwa sifanyi biashara na ndugu ambao sijazaliwa nao tumbo moja...baba yangu alinikataza
 
yaani alivyokuwa mjanja na ukimuona alivyo huezi amini km ni tapeli mpk feki maana mm siwajui kule ni mgeni!

kila kitu kipo nimefika pale ofisini wananiambia loohh!mmeliwa huyo uliyemkuta hapa siyo na tulishamtimua kwa kesi za utapeli hvyohvyo...!!
Ndugu wa hivyo wanaludisha nyuma kweli,shukuru Mungu umewajua tabia yao mapema
 
Pole Maza House. Jaribu kuongea nao kupitia wazee wa familia/ukoo ili wakurudishie hela yako, ikishindikana nenda kwenye vyombo vya sheria. Au kama unaweza pia, wapotezee tu.

Kuna boya alisema 'money and blood don't mix, like 2 dciks and no b!cth / find yourself in serious sh!t /"...not so accurate, but it makes sense sometimes.
thank for ur good advice duudee...

I've told my brother to deal with them and my uncles coz I know I can't face right now and I know myself how my heart is soft I can forgive them so they will take care effectively an am sure especially my bro is very strong person who isn't easier to be trapped!!
 
vyote vilikuwepo Ila mashahidi ndo walikua wawili wadogo zangu pale serikali ya mtaa alikua na watu wake wote matapeli..yaani jamani acha tu
Kama document zipo...anza na baraza la wazee. Kitaeleweka tu
 
Pole sana mumy. Ila kuna watu wa ajabu dunia hii ikiwa wewe ndugu wanakufanyia hivyo kwa mtu baki itakuwaje.

Usiache jasho lako lipotee kirahisi kama document unazo tafuta haki yako. Ili wapate fundisho
asante halafu sio undugu wa kuunga unga na Leo ndo nimeambiwa kashatapeli wengi almost watu sita
 
Usikubali kudhulumiwa kirahisi rahisi. Pambana kudai haki yako na kuwatia adabu hao matapeli.

Habarini!

Mwenzenu yamenikuta Mimi mtoto wa marehemu mama!Leo kwa Mara nyingine tena nimeona umuhimu wa kua na mama yangu mzazi duniani
Nimedhulumiwa na ndugu kabisa wa mama yangu(mdogo wake wa mwisho)

Nilimuamini akaniuzia Kiwanja na madokumenti yotee yalikuwepo kumbe yeye na mumewe matapeli watupu wa mjini hapa

Kapesa kangu mwenyewe nilikapata baada ya kuuza kabebi'woka'changu baada ya gharama za maisha kupanda auntie akaniambia ana viwanja nikaingia 'kingi'nikajaa nikalia pesa yoteee..

Ingine nikannua huko kinyerezi kwa mtu baki nisiemjua kipo salama

Huku leo nimeenda mmiliki kafyeka eneo na kulilima nikifika kumuambia anasema hajui chochote kile kinachoendelea juu ya mauziano na yeye ndo mhusika wa pale

Kumpigia simu kumuuliza ma mdogo'anauma uma mdomo tu'loohhh!![emoji26] [emoji26] [emoji26]

Ndugu hawa sina hamu nao ama kweli'zimwi likujualo halikuli likawisha'

Naumia jamani,au kwa kua wameniona mtoto wa kike?
Au kwa kua nguzo yangu haipo?
Au kajua siwezi kumshtaki na kumfunga?
Mpaka presha ilishuka Leo mwenzenuu!!!

Bora nisingeuza kumbe kibebi woka changu ningeacha kife tu nifanye screpa au ile pesa bora ningejenga heshima 'Mlimani city,shoppers plaza na kariakoo'

Nishaurini jamani nifanyeje'nna huzuni mno I wish my mom would be alive anifariji'nimeenda makaburini nimeliaa Leo kama ndo amekufa sasa hivi!

Ndugu wabaya jamani!
 
M

Mbona mahabusu wanakaa watu wasio na hatia wakati wenye makazi yao mnawalea tu?
Chukua weka ndani huyo baba mdogo ako atakutana na papii kocha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daahh!jf bwana asante kuwa mwanafamilia wa humu
 
asante halafu sio undugu wa kuunga unga na Leo ndo nimeambiwa kashatapeli wengi almost watu sita
Pole aisee ila pia na ubinadamu unahitajika mana kwa idadi yote hiyo hapo sijui atamlipa nani na kumuacha nani
 
Usikubali kudhulumiwa kirahisi rahisi. Pambana kudai haki yako na kuwatia adabu hao matapeli.
asante kwa ushauri kaka Ila naona dalili za udugu kufa hivi hivi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom