JT2014
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,863
- 1,374
Unaona eee! achana na kumpeleka kwenye vyombothank u ndugu!ni kweli usemayo maana kashakamatwa akatoka kashatapeli watu kama sita hivi
Mimi siyo wa kwanza
vya dola matapeli wengi huanzia huko kujizatiti.
Tumia vikao vya ukoo,kidogo hivyo vina
nguvu maana wengi huwa hawataki madudu yao
yajulikane kwenye koo zao,huko huwa wanajitahidi
kuwa smart.Ikishindikana huko basi achana naye
Mungu atakupa mali nyingine.