[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante shemela maana loohh!hii sasa Mara ya pili nshadhulumiwa 1.5mil na ndugu,Kiwanja mbeya yaani aiseehh!Kama huna ni wakati wa kutafuta sasa..matatzo kama hayo yakuzulumiwa utasikia kwenye bomba [emoji6]
Haha dah kweli unamajanga" pole sana try to change ur ways maybe umekua mpole sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante shemela maana loohh!hii sasa Mara ya pili nshadhulumiwa 1.5mil na ndugu,Kiwanja mbeya yaani aiseehh!
kweli kabisa usemayo nshadhulumiwa Kiwanja kingine mbeya ndugu walishirikiana hvyo hvyo uyole pale mjini kati..kwa hili nasema hapana maana naona wanapeana zamuNdugu wamekuwa majambazi hasa nyakati hizi. Wanashirikiana vizuri sana kuibia ndugu zao kwa kila njia. Upande wangu wapo couple wasanii balaa! Kila ndugu waliyemkopa vitu wakijidai wananunua kwa mkopo hawamlipi na wanashirikiana kupotezea, kushambulia na wana majibu ya kunya. Lakini maovu hulipwa kwa njia nyingi na tayari wanalipa japo inawezekana hawajagundua mabalaa yanayowakumba yanatokana na nini. Pole mwee, tupo wengi tuliotapeliwa na ndugu.
that's my problem I wish I would be kauzu zaidi ya dagaa... so that I would sue them effectively Ila bro huyo mtata ndo yeye alikua shahidi na ndo msimamizi sasa hivi wameulowanya aiseeHaha dah kweli unamajanga" pole sana try to change ur ways maybe umekua mpole sana
Chunga maneno yako, wewe mwenyewe ipo siku utakua mshua na utaitwa tapeli na wanaoNdugu wa ukweli ni Mama tu asee, Mshua mwenyewe muda wowote anakugeuka
Kibebi woka ndo niniHabarini!
Mwenzenu yamenikuta Mimi mtoto wa marehemu mama!Leo kwa Mara nyingine tena nimeona umuhimu wa kua na mama yangu mzazi duniani
Nimedhulumiwa na ndugu kabisa wa mama yangu(mdogo wake wa mwisho)
Nilimuamini akaniuzia Kiwanja na madokumenti yotee yalikuwepo kumbe yeye na mumewe matapeli watupu wa mjini hapa
Kapesa kangu mwenyewe nilikapata baada ya kuuza kabebi'woka'changu baada ya gharama za maisha kupanda auntie akaniambia ana viwanja nikaingia 'kingi'nikajaa nikalia pesa yoteee..
Ingine nikannua huko kinyerezi kwa mtu baki nisiemjua kipo salama
Huku leo nimeenda mmiliki kafyeka eneo na kulilima nikifika kumuambia anasema hajui chochote kile kinachoendelea juu ya mauziano na yeye ndo mhusika wa pale
Kumpigia simu kumuuliza ma mdogo'anauma uma mdomo tu'loohhh!![emoji26] [emoji26] [emoji26]
Ndugu hawa sina hamu nao ama kweli'zimwi likujualo halikuli likawisha'
Naumia jamani,au kwa kua wameniona mtoto wa kike?
Au kwa kua nguzo yangu haipo?
Au kajua siwezi kumshtaki na kumfunga?
Mpaka presha ilishuka Leo mwenzenuu!!!
Bora nisingeuza kumbe kibebi woka changu ningeacha kife tu nifanye screpa au ile pesa bora ningejenga heshima 'Mlimani city,shoppers plaza na kariakoo'
Nishaurini jamani nifanyeje'nna huzuni mno I wish my mom would be alive anifariji'nimeenda makaburini nimeliaa Leo kama ndo amekufa sasa hivi!
Ndugu wabaya jamani!
thank u ndugu!ni kweli usemayo maana kashakamatwa akatoka kashatapeli watu kama sita hiviPole sana,kwa upande wangu sikushauri
umpeleke mahakamani,kama ni tapeli mzoefu
hapa mjini utatafuta kuingia gharama nyingine
na mwisho ikitokea akafungwa utaleta ugomvi
na wana ndugu bure.
Kama kuna wazazi wake au watu wenye heshima
kwenye ukoo washtakie hao,hiyo itamtosha
na kama ni kukulipa ni heri ufanye kifamilia
itaokoa gharama nyingine nyingi.
Nina uzoefu na hawa matapeli wa viwanja
hata ukiwapeleka polisi,wanafahamika
na wana watu wao,unazungushwa mpaka basi,
na mkienda mahakani ukimshinda,atatakia akulipe
wengi wanasemaga hawana uwezo mkubwa
wanakulipa kidogo kidogo.Hivyo una poteza muda na fedha zaidi
mnakuwa wawili na nguvu kubwaukiolewa hudhulumiwi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wabongo bwana
Kesi za ndugu kama hivyo huwa zinakuwa ngumu maana ukisema sheria ichukue mkondo ndugu watakulilia wee na utasemwa maisha yote. Kwa sasa bora uwatangazie ndugu wote kwamba odo wako ni tapeli la kutupwa na wakae naye mbali. Hakikisha hii habari inaenea vizuri na heshima yao inaporomoka. Kwa kesi yako hapo tatizo sio ndugu maana yaonekana ulifuata taratibu zote. Ahhh mamdogo!![/QUOTE
Ndo nilivyofanya na mimi pia. Nimewaachia vitu, lakini natoa taarifa kwa kila mtu kwenye Ukoo, uzuri sio peke yangu niliyetapeliwa kwa hivyo tumeungana kuuhabarisha umma wote unaowafahamu wawajue.