kinana mjinga sana
Wana JF;
Taarifa za kina nilizozipata zimewataja rais wa Kisomali waishio Arusha (SILVER PARM, DUKA LA PEMBEJEO ZA KILIMO, DRY CLEANER, NA INTERNET CAFE) wanatajwa kuwa ni ndugu wa karibu wa Abdulhaman Kinana. Wasomali hao wanatajwa kuwa vinara wa kufanya biashara haramu ndani na nje ya Tanzania. Kusafirisha binadamu Human Trafficking, kutumika na Al- Shabab, kuingiza nchini Wasomali. nk.
Nawasilisha
Tafuta kazi mkuu ufanye au umeamua kujikita kwenye udaku, ukiitwa mahakamani ukatoe ushahidi upo tayari?
[/QUOTE![]()
Ni ujumbe tosha. Hakika baada ya miaka 20 tunaweza tusiwe na hawa wanyama tena.
Mbona wiki lililopita humu JF Kinana hakuwepo? sasa leo watu wana hasira naye ni kipi hasa kinawanyima usingizi nyie Machalii wa Arusha? au ni Nchi nzima mmemzobokea hasa wale mashabiki wa Lowassa na ProCDM
hawa watu watapita na watakuja wengine, km ni kweli anazuia Mustakabali wa Nchi yetu ni nani humu JF anayesifiwa au tumebakia mipasho tu?
Kama una ushahidi wa kutosha ni vizuri ukaupeleka katika vyombo husika ili sheria ichukue mkondo wake mkuu.
Kama una ushahidi wa kutosha ni vizuri ukaupeleka katika vyombo husika ili sheria ichukue mkondo wake mkuu.
Sasa kuna ubaya gani mtu kumiliki dry cleaning shop?
Sasa wewe ulitaka ushahidi wa nani alituma kontena aweke hapa JF? Akihitajika kufanya hivyo na vyombo vya sheria ushahidi utawekwa hadharani; bado sijaona tatizo la hiyo kesi; taxi yako kusafirisha kahaba haimaaniishi na wewe ni kahaba; acheni taratibu za kisheria zifanye kazi!
Chama
Gongo la mboto DSM
Chama
Tanzaniiiia Tanzania nakupenda kwa moyo woteee,nnchi yangu Tanzania..........................Wana JF;
Taarifa za kina nilizozipata zimewataja rais wa Kisomali waishio Arusha (SILVER PARM, DUKA LA PEMBEJEO ZA KILIMO, DRY CLEANER, NA INTERNET CAFE) wanatajwa kuwa ni ndugu wa karibu wa Abdulhaman Kinana. Wasomali hao wanatajwa kuwa vinara wa kufanya biashara haramu ndani na nje ya Tanzania. Kusafirisha binadamu Human Trafficking, kutumika na Al- Shabab, kuingiza nchini Wasomali. nk.
Nawasilisha
Kaka Tuhuma za Kinana ni nyingi saana, na hizo ni chache tu , ila sasa Serikali Yetu ya Wadanganyika ndiyo maana Kila kitu ukisema wanakuuliza una ushahidi, Waambie Ndiyo na wakidhibitisha kuwa una ushahidi halisi na vielelezo kuna mambo mawili wanakupa chukua chako funga mdomo au wa ku do mbaya, kama si kukupoteza, Nani asiyemjua Kinana Arusha, Ashakumbwa na tuhuma nyingi sana ila, Ona Pesa za uswis Sasa zinavyopigwa Dana dana, Wanajitahidi kumfunika Zito, ukweli unajulikana, Nani ameona hayo mawasiliano ya Serikali yetu na serikali ya Uswis,
.Unadhani kwanini taarifa hii na nyingine za sampuli hii zinakuja kasi sana kwa wakati huu?kuna nini hapa,mbona wiki mbili zilizopita hakukua na taarifa za sampuli hii!
huyo aliyeposti nadhani ni "kilaza original" kwa taarifa yako silver palm hotel ni dogo moja anaitwa mohamed dosidosi wala hana uhusiano wowote na kinana na mdogo wake anamiliki kampuni ya mbegu na dry cleaner wala wote hawana uhusiano woowte wa kidugu wala wa kibiashara na kinana, usipende kuwachafua watu kwa mabo usiyoyajua!