Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Tafuta kazi mkuu ufanye au umeamua kujikita kwenye udaku, ukiitwa mahakamani ukatoe ushahidi upo tayari?
Mkuu Ritz
Tukijadili ufisadi sio udaku! Na usidhani kuwa mimi ni kilaza wa aina unayofikiria, nitoe ushahidi kwenye lipi?! Kwa kumtaja KINONO kuwa alipiga puu machine za kufulia?! Nitatoa ushahidi wakimuita KINONO na si mwingine zaidi ya KINONO au na wewe Ritz na wewe UMENONA nini?.
Last edited by a moderator: