NATA
JF-Expert Member
- May 10, 2007
- 4,492
- 1,314
Kuna mabasi mawili yakiwa na familia inayojiita ya babu yanaelekea kwa babu yakitokea mbeya
madai yao hawendi kutibiwa wanaenda mtembelea ndugu yao.
Wengine wanadai ni mjomba wao..
Wengine binam yao...
Wengine babu yao...
Wengine kaka yao ..
Sasa sijui hili tamko la serikali linagusa hata ndugu wa babu?
Maana ndugu zangu hawa wanyakyu kwa extended family mh!