Mimi naitwa mwaloliondo na Mwaisapile ni Mtoto wa Babu yangu Mwaserengeti ambaye ni Mtoto wa Mwangorongoro ndugu yake na Mwamikumi Binamu ya Malafyale Nsana Mtoto wa Kifufu Nkati.
''Ndaga Banyambla''
Hata Mkwere alipopata urais watu walianza kutumia jina lake, Hata Jamaa wa sehemu anayotoka Pm wa sasa zamani walikuwa hawajisemi kama wanatoka kule lakini cku hizi ukimuuliza tu haraka anakujibu Mimi tunatoka Mkoa mmoja na PM.

Wanataka dawa hao..Si kweli kuwa wanaenda kumsalimia!..Wanyakyusa wanaendekeza sana nasaba za mbali, na kukiwa na msiba wanakaa mwezi matangani kwa mfiwa!
hahaaaaaaa sasa babu ana muda kweli wa kuongea na familia yake??hivi huko loliondo network ya simu inashika kwa makampuni yote??maana walitakiwa wampigie simu kwanza!