Ndugu wa Ahmed Msangi: Maisha yetu Hatarini; Hemedi Katumiwa!

ndugu mmoja (jina kapuni kwa usalama wake), wa karibu wa bwana ahmed msangi , askari anayechukiwa kuliko kila askari hapa nchini kwa tuhuma za utekaji na mateso ya Dr. Stephen Ulimboka, amenukuliwa akilalamika kwamba ndugu yao ametolewa kafara na kuyaweka maisha yake hatarini wakati yeye alifanya kazi aliyotumwa na wakubwa.
"ndugu yetu amechafuka sana jina kiasi kwamba anatembea kwa wasiwasi kila anakokwenda. hamedi hana amani na tunaona kama vile yeye alitumiwa wakati waliomtumia wamenyamaza na muda mwingine wanamfokea kwa kufanya uzembe. sisi wenyewe tunafatwa na makachero wanaotuhoji maswali mengi wakati hata huko mabwepande hatukujui. hatujawahi kumiliki bunduki wala gari. hatujui chochote na hatuna uhusiano na usalama wala polisi. wasicdhanie watabakia milele kwenye madaraka. wataumbuliwa tu siku moja......chanzo, ndugu wa karibu wa bwana msangi

NB
hatuwezi kuweka jinsia au anakoishi huyu mtu kwa usalama wake. Ila familia ya msangi inaishi kwa wasiwasi. Watu wanaosadikiwa kuwa usalama wanajaribu kutafuta ni habari gani wanazozijua (majina ya wakubwa) kuhusiana na utekaji wa Dr. Ulimboka.
you live by the sword and die by it! No other way.
 
Msishangae siku moja huyo msangi akaenda kutubu kwa......!sasa hapo ndo sijui

Lazima watakuwa wanamfuatilia,any wrong move wanaeza mwondoa,nadhani wanaposema alifanya "ujinga" walimaanisha ni kwasababu hakuhakikisha amekufa.Atakuwa anafuatiliwa na watu wa kila aina,Dr. Uli kwani hana ndugu na marafiki?ama tu some volunteers.Kwasasa ingetakiwa awe detained kwa usalama wake,ila kama ni kweli katumwa na "mkubwa",basi wanaeza "mbalali".
 
Aishiye kwa upanga atakufa kwa upanga. Msangi hajatolewa kafara bali ni mtu wa hovyo sawa na polisi wengine wanaokubali kutumiwa na watawala katili na wachafu kuwadhuru wenzao. Akilipwa kwa kadiri alivyotenda si mbaya. Anavuna alichopanda.
 
Naogopa kuchangia vilivyo, maana hili sakata lipo mahakamani.
 
ndugu mmoja (jina kapuni kwa usalama wake), wa karibu wa bwana ahmed msangi , askari anayechukiwa kuliko kila askari hapa nchini kwa tuhuma za utekaji na mateso ya Dr. Stephen Ulimboka, amenukuliwa akilalamika kwamba ndugu yao ametolewa kafara na kuyaweka maisha yake hatarini wakati yeye alifanya kazi aliyotumwa na wakubwa.
"ndugu yetu amechafuka sana jina kiasi kwamba anatembea kwa wasiwasi kila anakokwenda. hamedi hana amani na tunaona kama vile yeye alitumiwa wakati waliomtumia wamenyamaza na muda mwingine wanamfokea kwa kufanya uzembe. sisi wenyewe tunafatwa na makachero wanaotuhoji maswali mengi wakati hata huko mabwepande hatukujui. hatujawahi kumiliki bunduki wala gari. hatujui chochote na hatuna uhusiano na usalama wala polisi. wasicdhanie watabakia milele kwenye madaraka. wataumbuliwa tu siku moja......chanzo, ndugu wa karibu wa bwana msangi

NB
hatuwezi kuweka jinsia au anakoishi huyu mtu kwa usalama wake. Ila familia ya msangi inaishi kwa wasiwasi. Watu wanaosadikiwa kuwa usalama wanajaribu kutafuta ni habari gani wanazozijua (majina ya wakubwa) kuhusiana na utekaji wa Dr. Ulimboka.

Habari ndio hii.............acheni kupika mambo kwa manufaa ya Chadema,haisaidii sana

Askari anayetuhumiwa kumteka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dkt. Stephen Ulimboka, Kamishna wa Polisi Msaidizi (ACP), Ahmed Msangi, amehojiwa na kuzungumzia kilichotokea kuhusiana na tuhuma kwamba aliambiwa arejeshe simu ya mkononi na pochi ya Dkt. Ulimboka.

Akizungumza na Gazeti la JAMHURI, ACP Msangi alikiri kwenda katika wodi ya wagonjwa mahututi katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa nia ya kumhoji Dkt. Ulimboka, ila akaeleza mshangao wake kutokana na habari zilizochapishwa mwishoni mwa wiki, kuwa aliambiwa arejeshe pochi na simu ya Dkt. Ulimboka kwa maana kuwa alivipora walipomteka.

Vyombo vya habari mwishoni mwa wiki vilichapisha taarifa bila kutaja jina la askari anayetuhumiwa, lakini pia ukawa unasambazwa ujumbe mfupi kupitia simu za mkononi ambao ulisema hivi:

"Kamanda Msangi aliyemkamata na kumtesa Dkt. Ulimboka, yuko katika jopo la kuchunguza nini kilimtokea Dkt. Ulimboka. Alipofika kumhoji Dkt. Ulimboka alimwambia ‘Nirudishie simu na wallet yangu'. Kamanda Msangi taratibu akaondoka wodini kichwa chini. Kama wewe ni mpenda haki na unapinga ujinga na dhuluma, watumie ujumbe huu watu wengi kadri uwezavyo ili wamjue dhalimu aliyeongoza unyama huu," ulisema ujumbe huo unaosambazwa kupitia simu za mkononi.

Tume ya Jeshi la Polisi iliyoundwa kuchunguza tukio la Dkt. Ulimboka kutekwa nyara, kwa mujibu wa Kamanda Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, inaongozwa na Kamanda Msangi.Kamanda Msangi azungumza

Jamhuri: Afande umetangazwa kuongoza hii Tume ya Polisi kuchunguza suala la Dkt. Ulimboka, lakini taarifa zilisosambaa zinaonyesha Ulimboka alikwambia umerejeshee simu na wallet yake. Unalizungumziaje hili?

Kamanda Msangi:
Hata mimi nimesikia hizi taarifa, na zimenisikitisha mno. Naamini taarifa hizi zina malengo ya ziada. Si kweli kwamba nilishiriki kumteka Dkt. Ulimboka na wala sijawahi kuwa na wazo hilo.

Jamhuri: Ikiwa hukushiriki kumteka iweje wodini akwambie nirudishie simu yangu?

Msangi: Kwanza ifahamike mimi huyu Dkt. Ulimboka na mwenzake Dkt. Deo nimewafahamu siku nyingi sana. Kwa maana hiyo ni mtu anayenifahamu vizuri tu. Kuna upotoshaji wa makusudi umefanywa ambao mimi nadhani una msukumo wa kisiasa.
Alichosema Dkt. Ulimboka nilipozungumza naye, ni kwamba simu moja ilidondoka, nyingine wale watu waliomteka wameichukua pamoja na wallet yake. Hivyo alikuwa ananitajia vitu vilivyopotea. Nilipomuuliza iwapo anakumbuka namba ya simu, aliniambia nikamuulize Dk. Deo. Sasa nashangaa mtu aliyepenyeza uongo huu kwamba alisema mimi ndiye niliyempora hivyo vitu… sielewi ni nani na ana malengo gani.

Jamhuri: Haya unayasema wewe, hivi unadhani jamii itakuamini kwa kauli hizi, haitaonekana unajitetea tu?

Msangi: Wakati anazungumza maneno haya, alikuwapo Profesa Museru ambaye ni Mkurugenzi wa MOI. Sina cha kuficha kamuulize tu, atakwambia alichosema Dkt. Ulimboka. Yupo pia Dkt. Deo, huyu ananifahamu na Dkt. Ulimboka anasema walikuwa wote wakati anatekwa. Dk. Deo ananifahamu, akaulizwe iwapo mimi ndiye niliyemteka Dk. Ulimboka.

Jamhuri: Tuhuma hizi zilianza kusambaa mapema tu Ijumaa. Je, wewe hukuwa na hofu kwenda pale MOI kumhoji Dkt. Ulimboka?

Msangi: Ndugu yangu, nchi hii ina askari wengi mno. Hivi mimi kwa akili ya kawaida naweza kushiriki kumteka Dkt. Ulimboka kisha nikaenda wodini kumhoji? Hata katika akili ya kawaida ya binadamu hilo haliwezekani.

Jamhuri:
Hizi tuhuma zilizoelekezwa kwako ni nzito. Wewe ndiye uliyeteuliwa kuongoza Tume ya Uchunguzi wa tatizo hili. Je, unadhani uchunguzi utakaofanya utaaminiwa na wananchi ukitoa ripoti?

Msangi: Mimi ninachokuhakikishia sikushiriki kumteka na si kweli kwa kila hali. Mambo kama haya yanakatisha tamaa. Kama tunaanza kuzushiana uongo kwa kiwango hiki, nchi hii sijui inaelekea wapi! Kimsingi imenikatisha tamaa mno. Wapo wanaosema nijiuzulu katika Tume hii lakini mimi nasema wakubwa wangu wamenipa kazi hii na watakaloamua nitalipokea. Hivi wewe gazeti lako likituhumiwa unaacha kuendelea kutafuta habari? Nitaendelea kufanya kazi hii kama nilivyoapa siku nilipohitimu mafunzo kwamba nitalitumikia taifa kwa uadilifu na uaminifu wa hali ya juu katika kiapo changu cha utii. Na hilo ndilo nitakaloendelea kufanya. Watu wanapenda kuharibiana maisha tu.Profesa Museru asema alichokisikia

Mkurugenzi wa Taasisi ya Mifupa Muhimbili, Profesa Lawrence Museru, akizungumza na JAMHURI kuhusiana na sakata kwamba Dk. Ulimboka, alimweleza Kamanda Msangi arejeshe simu na wallet yake.

Jamhuri:
Profesa nimezungumza na Kamanda Msangi juu ya tuhuma zinazomkabili kuwa aliambiwa na Dk. Ulimboka amrejeshee simu na wallet yake, na akakutaja wewe kuwa ulikuwapo wakati wa mazungumzo hayo. Wewe nini ulichokisikia kuhusiana na tuhuma hizi.

Profesa Museru:
Mimi ndiye niliyempeleka pale wodini. Ni bwana mzuri tu. Nilimu-introduce (nilimtambulisha), akaanza mahojiano. Mimi hilo sikulisikia kwamba ameambiwa arejeshe simu na wallet, hilo sikulisikia.

Jamhuri: Kuna habari kuwa Kamanda Msangi baada ya kuambiwa kauli hiyo alitoweka wodini bila kuaga akikwepa kipigo kama ilivyomtokea askari mwenzake siku mbili kabla. Je, unalizungumziaje hilo profesa?

Profesa Museru: Nini? Kwamba alikimbia? Jamani nchi hii inakwenda pabaya. Mimi nilimsindikiza hadi nje ya wodi akapanda gari lake na kurejea ofisini kwake, sasa hilo la kukimbia limetokea wapi? Jamani ehee, mimi niseme katika hali kama hii sintofahamu zipo nyingi. Ni vyema kuchuja taarifa tunazozipata.Daktari asisitiza polisi wanahusika
 
Muanzisha mada anajikanyaga kanyaga tu mpaka ananifanya nihisi ni habari ya kutengeneza hii!Hebu jipange uje na mtiririko unaoeleweka.Kuishi kwa mashaka kwa Msangi kunatokana na TISS au wananchi? Msangi ameshiriki utekaji kivipi?alii master plan nzima lakini hakushiriki utekaji au alikuwa miongoni mwa watekaji siku ya tukio?mimi sijakuelewa aisee!!
 
Habari ndio hii.............acheni kupika mambo kwa manufaa ya Chadema,haisaidii sana

Askari anayetuhumiwa kumteka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dkt. Stephen Ulimboka, Kamishna wa Polisi Msaidizi (ACP), Ahmed Msangi, amehojiwa na kuzungumzia kilichotokea kuhusiana na tuhuma kwamba aliambiwa arejeshe simu ya mkononi na pochi ya Dkt. Ulimboka.

Akizungumza na Gazeti la JAMHURI, ACP Msangi alikiri kwenda katika wodi ya wagonjwa mahututi katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa nia ya kumhoji Dkt. Ulimboka, ila akaeleza mshangao wake kutokana na habari zilizochapishwa mwishoni mwa wiki, kuwa aliambiwa arejeshe pochi na simu ya Dkt. Ulimboka kwa maana kuwa alivipora walipomteka.

Vyombo vya habari mwishoni mwa wiki vilichapisha taarifa bila kutaja jina la askari anayetuhumiwa, lakini pia ukawa unasambazwa ujumbe mfupi kupitia simu za mkononi ambao ulisema hivi:

“Kamanda Msangi aliyemkamata na kumtesa Dkt. Ulimboka, yuko katika jopo la kuchunguza nini kilimtokea Dkt. Ulimboka. Alipofika kumhoji Dkt. Ulimboka alimwambia ‘Nirudishie simu na wallet yangu’. Kamanda Msangi taratibu akaondoka wodini kichwa chini. Kama wewe ni mpenda haki na unapinga ujinga na dhuluma, watumie ujumbe huu watu wengi kadri uwezavyo ili wamjue dhalimu aliyeongoza unyama huu,” ulisema ujumbe huo unaosambazwa kupitia simu za mkononi.

Angalau hii ina particles za kueleweka
 
Hivi wewe ndiyo unataka tuamini haya? kama ni kweli alishiriki na anahojiwa kuhusu ushiriki wake ulitegemea aseme kwamba ni kweli yeye ndiye aliyemteka na kumtesa Dr. Uli?. Fikiri kidogo!
 
Hapo ndo naiona habari ka ya kupikwa hii

Fikiri Kidogo, lengo nikujua Kama hao ndugu wanatambua vigogo wanao husika, naikidhibitika hao ndugu wanayo taarifa za yaliyo jiri na vigogo wahusika basi wawapoteze hao ndugu kuondoa ushahidi.
 
Mimi wasiwasi wangu ni kwa woote waloshiriki tukio la Dr uli kupukutika mmojammoja kwa kushindwa kazi waliyopewa hasa huyu Msangi.
 
Chama cha wazushi, waongo, wanafiki, wauaji kuanzia mwenyekiti wake, wazee washauri, hadi wapiga debe wake Jamii forums.
 
KIM KARDASH naona umeibuka toka usingizini na habari ya gazeti la Jamhuri ambayo tuliijadili hapa wiki mbili zimepita na tukaichana chana vibaya na ndiyo inamtia hatiani kiulaini ze killer Ahmed Msangi.
Kama na wewe ungekuwa mtu makini ungeona jinsi msangi anavyojitia hatiani kupitia habari hiyo ya Jamhuri.
Vilevile nikukumbushe kwamba hapa ni ccm na serikali yenu mmepatikana na hatia ya kuua watanzania wanaodai haki zao wala msijidanganye kwamba mnaweza kufanikisha adhma yenu ya kuipakazia Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Natamani sana ingekuwa 2014 Dec hivi.....nadhani kura zingefikia 9% ambazo wangepata hao CCM na NEC ingewapa kura zingine za maruhani ili waendelee kushika dola,la sivyo nauona mwisho wa udhalimu wa serikali na chama chake!wanampa mzigo mkubwa sana mgombea wao!!maana miaka 10 ilikuwa ni maigizo tupu hakuna la maana walilofanya!!ahadi 100 hakuna hata moja zaidi kumaliza viporo vya awamu iliopita!!!ikulu si mahala pa kukimbilia wala tusiendeshe nchi kwa ndoto!!
 
Hivi wewe ndiyo unataka tuamini haya? kama ni kweli alishiriki na anahojiwa kuhusu ushiriki wake ulitegemea aseme kwamba ni kweli yeye ndiye aliyemteka na kumtesa Dr. Uli?. Fikiri kidogo!

sikiliza we kijana acha kukurupuka,vipi kuhusu profesa?unataka kusema nae alikula njama pia?hebu soma hii comment yake kwa faida yako then uje kivingine sio kudandia dandia mambo kishabiki bila kupima kwanza.

Profesa Museru: Nini? Kwamba alikimbia? Jamani nchi hii inakwenda pabaya. Mimi nilimsindikiza hadi nje ya wodi akapanda gari lake na kurejea ofisini kwake, sasa hilo la kukimbia limetokea wapi? Jamani ehee, mimi niseme katika hali kama hii sintofahamu zipo nyingi. Ni vyema kuchuja taarifa tunazozipata.
 
KIM KARDASH naona umeibuka toka usingizini na habari ya gazeti la Jamhuri ambayo tuliijadili hapa wiki mbili zimepita na tukaichana chana vibaya na ndiyo inamtia hatiani kiulaini ze killer Ahmed Msangi.
Kama na wewe ungekuwa mtu makini ungeona jinsi msangi anavyojitia hatiani kupitia habari hiyo ya Jamhuri.
Vilevile nikukumbushe kwamba hapa ni ccm na serikali yenu mmepatikana na hatia ya kuua watanzania wanaodai haki zao wala msijidanganye kwamba mnaweza kufanikisha adhma yenu ya kuipakazia Chadema.
Acha ushabiki wa kitoto wewe,wote tunalaani kitendo ovu alichofanyiwa jamaa,lakini hatutaki waumizwe hata wasiohusika na kitendo hicho kwa sababu tu za kihistoria na kihisia zaidi kwamba kwa kuwa huyo alitesa wezi wa magari kina Lema na genge lake akiwa mto wa mbu basi ni lazima atakua amehusika na yalimkuta ulimboka,hapana hatuendi hivyo,aliyokuwa akiyafanya msangi huko mto wa mbu kwa kina Lema yasichanganywe na hili,kule mto wa mbu msangi alikua akitimiza wajibu wake dhidi ya kina majambazi kina Lema waliokua wakitikisa mikoa ya kanda ya kaskazini na nchi jirani kwa ujambazi wao
 
Back
Top Bottom