Ndugu wa Ahmed Msangi: Maisha yetu Hatarini; Hemedi Katumiwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu wa Ahmed Msangi: Maisha yetu Hatarini; Hemedi Katumiwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jul 21, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Ndugu mmoja (jina kapuni kwa usalama wake), wa karibu wa bwana Ahmed Msangi , askari anayechukiwa kuliko kila askari hapa nchini kwa tuhuma za utekaji na mateso ya Dr. Stephen Ulimboka, amenukuliwa akilalamika kwamba ndugu yao ametolewa kafara na kuyaweka maisha yake hatarini wakati yeye alifanya kazi aliyotumwa na wakubwa.

  "Ndugu yetu amechafuka sana jina kiasi kwamba anatembea kwa wasiwasi kila anakokwenda. hamedi hana amani na tunaona kama vile yeye alitumiwa wakati waliomtumia wamenyamaza na muda mwingine wanamfokea kwa kufanya uzembe. Sisi wenyewe tunafatwa na makachero wanaotuhoji maswali mengi wakati hata huko mabwepande hatukujui.

  Hatujawahi kumiliki bunduki wala gari. Hatujui chochote na hatuna uhusiano na usalama wala polisi. Wasicdhanie watabakia milele kwenye madaraka. wataumbuliwa tu siku moja......chanzo, ndugu wa karibu wa bwana msangi

  NB
  Hatuwezi kuweka jinsia au anakoishi huyu mtu kwa usalama wake. Ila familia ya msangi inaishi kwa wasiwasi. Watu wanaosadikiwa kuwa usalama wanajaribu kutafuta ni habari gani wanazozijua (majina ya wakubwa) kuhusiana na utekaji wa Dr. Ulimboka.

  [​IMG]
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Episode ya ngapi? nimesahau..........Ina maana sterling hajulikani aliko au kubwa la maadui limechakachua movie!!!!!!!
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Atajiju..afu kesi ipo kortini.
   
 4. N

  Ndole JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  eeehhh sijui
   
 5. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  tiss wanatafuta ni wakubwa gani wako nyuma ya sakata????...very interesting...kwa nini wasimuulize msangi??
   
 6. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Msishangae siku moja huyo msangi akaenda kutubu kwa......!sasa hapo ndo sijui
   
 7. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  nadhani atakayeropoka kujua au kutaja jina la mkubwa, kutoweka kupoteza ushahidi.
   
 8. B

  Bubona JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hope everything will be out soon!!
   
 9. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hapo ndo naiona habari ka ya kupikwa hii
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Huyu atatubia wapi sijui!
   
 11. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,819
  Likes Received: 36,936
  Trophy Points: 280
  paranawee inaendelea.
   
 12. a

  artorius JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 758
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Damu ya ulimboka inazidi kuwalilia
   
 13. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Anachomaanisha mleta thread ni kuwa kama kuna mwanafamilia anajua jina la mkubwa kwenye hili tukio basi "Hemed" atakuwa amevujisha siri kwa kujua ama bahati mbaya........Kinachofuata ni "silence" ili habari "mpya" zisitapakae.
   
 14. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  na hili ndio wanalolitafuta watu wa tiss kuona kama ndugu za jamaa wanajua au lah!! ili wawananiliu fasta
   
 15. m

  mangifera Member

  #15
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wataingia mikononi mwa madaktari mmoja mmoja. Yule mwenzie wa Kawe tayari yko MOI madaktari wanadili nae. Bado watampeleka na Msangi muda si mrefu!
   
 16. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  safari hii ni kwa kakobe........
   
 17. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Kwani unadhani hao tiss wameshindwa kwenda kwa ulimboka alikolazwa wakamuhoji mpaka wawaulize wajombazake?
   
 18. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Duh kumbe ndo huyu,alikuwa boss Moro kipindi wadogo zetu wanagoma goma pale SUA akawa anawahoji,duh umeharibu mkuu nilikuona wa maana sana ulipowaachia kina Davi,Peter na Bertha ila kwa hili sikusamehi.Let u harvest from what you planted.
   
 19. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Msangi si yule aliyewaita wafuasi wa CDM panya mahakamani kwenye kesi ya Lema Arusha.
   
 20. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Na yeye anabeba responsibility yakukubali kutumika. Alijua what he is getting himself into alipoamua kulamba viatu vya wakubwa. Roho alizozitesa na kudhulumu zitamfuata popote anapojificha. This is a joint responsibility. Lazima abebe huu mzigo hamna jinsi. Nawapa pole sana hao ndugu zake. Afterall nafurahi kusikia hata ndugu zake wanajua Hemedi ndio mtuhumiwa na sio Mkenya.
   
Loading...