Ndugu Polepole, kumbuka kuwa Mwana CCM kumpinga mgombea wa CCM, unaitwa USALITI

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
464
Reaction score
687
Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais.

Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali zaidi kwakutamka kuwa, mwana CCM, kumpinga mgombea wa CCM ni USALITI.

Vitendo au maneno ya kumbomoa Dr. Samia wakati huu, vinaibomoa CCM pia. Tafakari, kama tukimpaka matope Dr. Samia sasa, nani atampigia kura October 29? Na akikosa hizo kura, Je, CCM itaendelea kuwepo?

Historia ni mwalimu mzuri sana. Katika Afrika, Historia inatufundisha kuwa, chama tawala kikishindwa uchaguzi tu kinakufa. Kwa maneno mengine ni kuwa, kumpinga mgombea Rais wa CCM, ni kama kuitakia kifo CCM. Rai yangu ni kuwa, hata kama hatujaridhika vipi, ni mwiko mambo ya chumbani kuyaweka hadharani.

CCM ni urithi wa watanzania, ndio maana pamoja na matatizo yake yote, hitimisho la baba wa Taifa lilikuwa, "Bila CCM madhubuti, Tanzania itayumba"
 
Rubbish! utanisamehe, that is the right comment I can make
 
..Ni lini Mwalimu Nyerere alisema Ccm muunge mkono wagombea mafisadi waliopatikana kwa hila?
 
Kama umeshindwa kumuelewa Polepole basi bila shaka utakuwa mjinga sana! Maana kafundisha hata Mbumbumbu wameelewa
 
Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais.

Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali zaidi kwakutamka kuwa, mwana CCM, kumpinga mgombea wa CCM ni USALITI.

Vitendo au maneno ya kumbomoa Dr. Samia wakati huu, vinaibomoa CCM pia. Tafakari, kama tukimpaka matope Dr. Samia sasa, nani atampigia kura October 29? Na akikosa hizo kura, Je, CCM itaendelea kuwepo?

Historia ni mwalimu mzuri sana. Katika Afrika, Historia inatufundisha kuwa, chama tawala kikishindwa uchaguzi tu kinakufa. Kwa maneno mengine ni kuwa, kumpinga mgombea Rais wa CCM, ni kama kuitakia kifo CCM. Rai yangu ni kuwa, hata kama hatujaridhika vipi, ni mwiko mambo ya chumbani kuyaweka hadharani.

CCM ni urithi wa watanzania, ndio maana pamoja na matatizo yake yote, hitimisho la baba wa Taifa lilikuwa, "Bila CCM madhubuti, Tanzania itayumba"
Kwa sasa unaiona CCM madhubuti aliyokuwa anaisema Nyerere?
 
Baba wa taifa gani? Huyo ni baba wa ccm. Karne hii unatuletea story za mtu wa karne iliyopita. Ccm itakufa vipi wakati huwa mnasema ni chama kikubwa. Au ukubwa wake ni lazima kiwe madarakani? Ni hivi ccm lazima itoke madarakani, itakuwa ni juu yenu wanaccm kuifanya iendelee kuwepo kama mnavyojidanganya kuwa ni chama kikubwa na bora.
 
Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais.

Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali zaidi kwakutamka kuwa, mwana CCM, kumpinga mgombea wa CCM ni USALITI.

Vitendo au maneno ya kumbomoa Dr. Samia wakati huu, vinaibomoa CCM pia. Tafakari, kama tukimpaka matope Dr. Samia sasa, nani atampigia kura October 29? Na akikosa hizo kura, Je, CCM itaendelea kuwepo?

Historia ni mwalimu mzuri sana. Katika Afrika, Historia inatufundisha kuwa, chama tawala kikishindwa uchaguzi tu kinakufa. Kwa maneno mengine ni kuwa, kumpinga mgombea Rais wa CCM, ni kama kuitakia kifo CCM. Rai yangu ni kuwa, hata kama hatujaridhika vipi, ni mwiko mambo ya chumbani kuyaweka hadharani.

CCM ni urithi wa watanzania, ndio maana pamoja na matatizo yake yote, hitimisho la baba wa Taifa lilikuwa, "Bila CCM madhubuti, Tanzania itayumba"
Wewe nimtu mjinga,dhaifu,muoga na wakupuuzwa maana ukoradhi watu wafe,waifilisi nchi,watese watu kisa tuu unawapenda basi wabaki uongozini.
Majinga kama wewe yatafanya harakati zoote dhidi ya udhalimu,wizi,mauaji na mateso kwa watanzania yaendelee Kwa ustawi wa kina rostam nakundi lake la wahuni.
 
Screenshot_20250703-140259~2.png
 
Wewe nimtu mjinga,dhaifu,muoga na wakupuuzwa maana ukoradhi watu wafe,waifilisi nchi,watese watu kisa tuu unawapenda basi wabaki uongozini.
Majinga kama wewe yatafanya harakati zoote dhidi ya udhalimu,wizi,mauaji na mateso kwa watanzania yaendelee Kwa ustawi wa kina rostam nakundi lake la wahuni.
Hoja yangu haizungumzii tuhuma za ufisadi hapa, na kwa namna yoyote sijatetea mafisadi hapa.
Hii ni hoja ya dhana ya uchama, huwezi jiita mwanachama wa chama unachompinga mgombea wake.
For clarity sake, kama hukubaliani na chama chako unajitoa, ili upate uhalali wa kufanya kazi ya upinzani.
 
Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais.

Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali zaidi kwakutamka kuwa, mwana CCM, kumpinga mgombea wa CCM ni USALITI.

Vitendo au maneno ya kumbomoa Dr. Samia wakati huu, vinaibomoa CCM pia. Tafakari, kama tukimpaka matope Dr. Samia sasa, nani atampigia kura October 29? Na akikosa hizo kura, Je, CCM itaendelea kuwepo?

Historia ni mwalimu mzuri sana. Katika Afrika, Historia inatufundisha kuwa, chama tawala kikishindwa uchaguzi tu kinakufa. Kwa maneno mengine ni kuwa, kumpinga mgombea Rais wa CCM, ni kama kuitakia kifo CCM. Rai yangu ni kuwa, hata kama hatujaridhika vipi, ni mwiko mambo ya chumbani kuyaweka hadharani.

CCM ni urithi wa watanzania, ndio maana pamoja na matatizo yake yote, hitimisho la baba wa Taifa lilikuwa, "Bila CCM madhubuti, Tanzania itayumba"
Hoja imedoda
 
Sasa kama mgombea wa CCM mwizi, mjinga, muuaji, unataka watu wamkubali tu kwa sababu mgombea wa CCM?
 
Hoja yangu haizungumzii tuhuma za ufisadi hapa, na kwa namna yoyote sijatetea mafisadi hapa.
Hii ni hoja ya dhana ya uchama, huwezi jiita mwanachama wa chama unachompinga mgombea wake.
For clarity sake, kama hukubaliani na chama chako unajitoa, ili upate uhalali wa kufanya kazi ya upinzani.
Kama mgombea wa CCM ni fisadi hutakiwi kuutoa ufisadi kwenye mazungumzo haya.
 
Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais.

Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali zaidi kwakutamka kuwa, mwana CCM, kumpinga mgombea wa CCM ni USALITI.

Vitendo au maneno ya kumbomoa Dr. Samia wakati huu, vinaibomoa CCM pia. Tafakari, kama tukimpaka matope Dr. Samia sasa, nani atampigia kura October 29? Na akikosa hizo kura, Je, CCM itaendelea kuwepo?

Historia ni mwalimu mzuri sana. Katika Afrika, Historia inatufundisha kuwa, chama tawala kikishindwa uchaguzi tu kinakufa. Kwa maneno mengine ni kuwa, kumpinga mgombea Rais wa CCM, ni kama kuitakia kifo CCM. Rai yangu ni kuwa, hata kama hatujaridhika vipi, ni mwiko mambo ya chumbani kuyaweka hadharani.

CCM ni urithi wa watanzania, ndio maana pamoja na matatizo yake yote, hitimisho la baba wa Taifa lilikuwa, "Bila CCM madhubuti, Tanzania itayumba"
Hoja yako kifalsafa ni logical fallacy ya argument from authority.

Kiswahili inaitwa "mkubwa hapingwi".

Ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom