VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Baada ya kuona maelezo yako kuhusu sababu ya kushindwa hapo chini; nimeona ni vyema na mimi nikaelimishwa sababu huenda na mimi sielewi kama hao wananchi wengine..,
Hivyo basi mwanajamvi mwenzangu ukweli huo ni upi kuhusu hizi so called propaganda..?
Je ni kweli kwamba wananchi hawaelewi kilichotokea au hawapendi kilichotokea na kwamba mlifanya kosa Zanzibar ?
Na nyie kama Chama Cha Upinzani, wapinzani wenu wakubwa ni CCM au CHADEMA au ni wote..?
Je huoni kwamba itakuwa bora kama mkiungana na vyama vya upinzani au wewe kama kweli unapenda mageuzi ukihama Chama ambacho kwa sasa bara kimepoteza mvuto na kwenda chama cha upinzani chenye nguvu (hata ukagombea Ubunge..) ili uweze kweli kuwatumikia wananchi..?
Na hizi siasa za majitaka mlivyotumia muda mwingi kuwa-attack wapinzani wenzenu huoni kwamba mlipoteza muda ambao ulikuwa kidogo kuelezea ni nini mtafanya..?
Na unavyosema huwezi kuhama CUF hata iweje.., Je siasa imekuwa kama ushabiki wa mpira yaani mimi ni CUF damu na sio kuona ni platform ipi naweza kuwasaidia wananchi vema (na kwa upepo wa sasa ni kwamba kupitia CUF bara ni vigumu sana)..?
Je CUF mnavyotumia muda kuwapiga CHADEMA huoni kwamba mnawanufaisha CCM..?
Ni hayo tu mkuu ningeweza kukuuliza kwenye post yako uliyotoa ila trend inaonekana hujibu maswali na ningeweza nikaku-PM lakini nimeona bora na wale wananchi wengine ambao hawaelewi na wanaamini propaganda wangekosa hii elimu.. (Pia kama kuna mwana-CUF ambae anaelewa ukweli ni upi tashukuru kuelimishwa...)
Natanguliza Shukrani
Ninachojifunza zaidi ni kuwa wapiga kura wengi ndani ya Tanzania bado wanaamini zaidi propaganda kuliko hali halisi ya mazingira yanayowakabili .
Katika uchaguzi huu wa Igunga CUF tumepambana na changamoto kubwa ya kujibu propaganda zilezile kuwa eti "Sisi ni CCM B", kila tulikoenda tumekutana na kikwazo hiki, tumejaribu kwa dhati kuwaelimisha wananchi bila mafanikio na muda umekuwa ukikimbia kuliko upepo.
Hata hivyo bado naamini kuwa tutapata fursa kubwa ya kuwaelimisha wananchi siku za usoni. Mimi na wenzangu hatutakata tamaa kwani MAFANIKIO KATIKA NYANJA YA SIASA huhitaji mioyo migumu.