Nani ni Nani Urais 2015: Edward Lowassa - Mbunge wa Monduli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani ni Nani Urais 2015: Edward Lowassa - Mbunge wa Monduli

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mcubic, May 11, 2015.

 1. mcubic

  mcubic JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2015
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 10,204
  Likes Received: 4,331
  Trophy Points: 280
  Mtatiro ameendelea kufanya uchambuzi miongoni mwa wanaotaka kugombea Urais, na leo hii anamchambua Lowasa:

   
 2. M

  Malisiale Senior Member

  #2
  May 11, 2015
  Joined: May 9, 2014
  Messages: 125
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mungu akiamua binadamu tunajisumbua tu
   
 3. mcubic

  mcubic JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2015
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 10,204
  Likes Received: 4,331
  Trophy Points: 280
  Unamaanisha nini?.....madhaifu yake ni mengi kuliko uwezo ama nguvu zake?.....
   
 4. Boniphace Bembele Ng'wita

  Boniphace Bembele Ng'wita Verified User

  #4
  May 11, 2015
  Joined: Dec 25, 2013
  Messages: 2,625
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Plan b ndo chagua sahihi kwa edo
   
 5. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2015
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Lowassa ndiyo Rais wa 2015......
   
 6. M

  Mundu JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2015
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,720
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mtatiro ame mwelezea vyema nd. Lowassa,na ile hofu kuwa huenda alikuwa ana mpango wa ku mhuisha huyu bwana ili aonekane bora kuliko wenzake wote ndani ya CCM sasa haipo tena.

  Lowassa aliyemweleza hapa, ni Lowassa huyu huyu anayejulikana na wengi hapa nyumbani.

  Kazi kwao CCM, waki "bugi step", wameliwa.
   
 7. mcubic

  mcubic JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2015
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 10,204
  Likes Received: 4,331
  Trophy Points: 280
  Mtatiro ni mchambuzi huru....tangu aanze kuwachambua watia nia hawa wa uraisi hajaonesha upendeleo kwa yeyote....zaidi ya kufanya SWOT analysis yake....kwa kila mgombea
   
 8. mcubic

  mcubic JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2015
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 10,204
  Likes Received: 4,331
  Trophy Points: 280
  Uchambuzi umeusoma wotee? Au mahaba tu.....
   
 9. Nicholas J Clinton

  Nicholas J Clinton JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2015
  Joined: Mar 13, 2014
  Messages: 828
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Afrika ina viongozi wachekeshaji sana alafu wote wanafanana tu, na watu wake wamebaki kuwa kama viongozi wao, binafsi siamini kiongozi mwenye kashfa na mfanya biashara tuwaze sasa zaidi ya hapa. Mungu hutoa maarifa, hekima, busara, ujuzi, akiri bora, ufahamu na kiasi basi kama tumeshindwa kutumia akiri zetu kulitengeneza TAIFA letu tumuombe ALLAH mwingi wa rehema atusaidie. Kama kawaida bara la Afrika lina changamoto nyingi sana tuwaze na kufikiria zaidi kuzitatua. Rais mwenye kashfa na mfanya biashara hatakiwi IKULU.
   
 10. mcubic

  mcubic JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2015
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 10,204
  Likes Received: 4,331
  Trophy Points: 280
  Cha ajabu ndo anapendwa na ndio maarufu kupita wagombea wote....Hadi nyerere bado anashangaa huko alipo (mungu ampe makazi mema)
   
 11. W

  WILLIAM MARCONI JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2015
  Joined: Apr 2, 2015
  Messages: 2,057
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  Kigezo kingine cha kumpitisha Lowassa ni kupendwa na wapinzani. Ni mkakati maalum wa UKAWA kumpigia debe Lowassa kwa chini chini kwa wana CCM, maaskofu, na kwa afadhili. UKAWA wanatumia mbinu hii kwanza kuigawa CCM (hiyo hoja ya kwamba akiachwa wajumbe watatoka ni hoja ya UKAWA si ya wana CCM). Lakini sababu kubwa ni kwamba Lowassa ni mchafu mno,watamponda na kumshinda kiulaini. Kumbuka UKAWA hawana uwezo mkubwa wa kujenha hoja, uwezo wao ni "kulipua" CCM. Akija mtu clean na mwenye uwezo kama Wassira au Sitta au Pinda,UKAWA watapata wakati mgumu sana. Lakini akija Lowasitakuwa ni sawa na samaki umemuweka majini ataogelea vizuri. Yale makundi yaliyokuwa yakienda Monduli mengi yaliratibiwa na UKAWA. WM
   
 12. k

  kingukitano JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2015
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,971
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lowassa atosha
   
 13. mcubic

  mcubic JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2015
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 10,204
  Likes Received: 4,331
  Trophy Points: 280
  Wasira, Sitta na Pinda hawana tofauti na Lowasa....wotee ni wale wale tu.
   
 14. mcubic

  mcubic JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2015
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 10,204
  Likes Received: 4,331
  Trophy Points: 280
  Mahaba tu yanakusumbua....Hatoshi hata kidogo
   
 15. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2015
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  TEAM Lowassa tosha
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. M

  Mundu JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2015
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,720
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Uko sahihi kabisa, na hongera kwakeJulius Mtatiro. Lakini usisahau kuwa kwenye siasa hizi za bongo, "anything can happen". Unamkumbuka aliyekuwa mchambuzi huru Salva Rweyemamu?
   
 17. k

  kiwososa JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2015
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,091
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mbona Gazeti la mwananchi leo wamemuhujumu Lowassa kwa kuhakikisha zile page zote zinazoelezea wajihi wake kuwa zimeharibiwa?!maandishi yote hayasomeki na wino umetapakaa kwenye kurasa zote??!! kwa nini CCM wanamuogopa sana Lowassa wakati mimi wala sioni nguvu yeyote kutoka kwake as compared na wagombea tarajiwa wa upinzani??!!
   
 18. mcubic

  mcubic JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2015
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 10,204
  Likes Received: 4,331
  Trophy Points: 280
  Mkuu unafahamu maana ya neno wajihi? Au ulikua unamaanisha wasifu?....Kama wino umetapakaa basi kwenye soft copy mambo ni mazuri....taarifa yote i hadharani..
   
 19. U

  Ukana Shilungo JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2015
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 954
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 60
  safi,lakini Lowasa inasemekana alishawahi kuwa jeshi kwa cheo cha luteni kama sio kapteni,lakini haijaeeelezwanapenda kujua anayefahamu!
   
 20. k

  kiwososa JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2015
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,091
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Samahani mkuu kama nimekosea neno sahihi lakini nafikiri ujumbe umeeleweka.Watanzania wenye uwezo wa kupata soft copy ni wangapi mkuu?!! kwani kabla ya kusambaza magazeti hakuna ukaguzi wa kuhakikisha kila kitu kipo sawa?? kwa kampuni kubwa kama mwananchi huu uzembe wa namna hii hauvumiliki zaidi ya kuamini kwamba hizi ni hujuma za wazi wazi.kwanini wasiweke uwanja sawa wa ushindani?!!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...