Ndugai: Watu wanamnunia Shonza

Ndugai: Watu wanamnunia Shonza

Kama TCRA wangekua na kipimo cha mawazo yangu basi nisingepata nafasi ya kukoment hapa!! Upuuzi unapewa nafasi zaidi ya werevu!!
 
Spika kwa hili swali la uonevu la wafanyakazi anapaswa KUMKUMBUSHA DUNIA NI NJIA YA MAPITO kukataa swali lile lijibiwe ajue ameumiza kundi kubwa .
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa.
2020 wafanyakazi wanapaswa kudhihirisha kupitia sanduku la kura kuwanyoosha wadhalimu
 
Shonja na mwenzie Mwampamba, majembe bora kabisa yaliyozaliwa Chadema......ila Chadema wakashindwa kuwakuza na kuwalea sababu ya kumlinda Mbowe.

Hongera Shonza ila jitahidi kujirekebisha kwenye lugha mama....
inakuathiri sana kwenye baadhi ya matamshi ya kiswahili fasaha.


Lugha ni shida, wizala habali, kweli?
 
..hakuna mlupo unaopewa cheo huko ccm bila ya kuliwa nyapu.. Na kwa maana hiyo vyeo vingi vinavyohusu milupo havina merit... Kikiwepo cha huyu chuda...kwa kuanzia hapo tu siwezi hata kumsikiliza mtu kama huyu...tukiachilia mbali pia vyeo vya kipropaganda wanavyopewa kuwananga wapinzani....
 
Albadiri itatuonyesha mengi.Kuna mambo yakiongelewa na mtoto wala huwezi kushangaa,lakini yakiongelewa na MTU mzima ujuwe kuna tatizo kati ya kitu ambacho macho yameona na tafsiri ambayo ubongo unatoa.
 
Huyu dada siamini kama ni yule my nyota nyota wa enzi hizo. Kapoteza kujiamini na hapo dah nilipoiangalia hiyo clip hadi nimeona soo. Siyo kwa kutetemeka huko, any way bado ana nguvu ya kimahaba kwangu maana mahaba huwa hayachachi ila unashiba kwa muda tu!
 
Kufatilia Bunge sahv ni kupoteza muda wako maana kuna upande mmoja wao ndy wanataka waongeee tu upande mwingine wakitaka kuchangia hawapewi nafasi

Ova
Mmh, sawa kabisa wapenzi wa Juventus walijisikia hivyo hivyo jana kwenye mechi na AC Roma walipofungwa 3-1 kabla ya half-time. Mchezo ulikuwa "boring" sana hafu ya pili walipofungwa magoli mawili tena ikawa 5-1.
 
Ana mental issues yule kama boss wake kwaiyo hiyo msitegemee kuna cha maana atafanya
 
kwa vile wewe unamchekeachekea wataka wengine wafanye hivyo hivyo !
 
Mwache awanyooshee
Mnajinyoosha wenyewe kwa kukosa viongozi makini na kuwapa hao mliowarubuni kuhamia ccm ili muwaajiri. Naona mnawadekeza ili wawapende ninyi wazazi wa kambo! Shoza hana maajabu wala aibu! Na hupo supuika hali ya ugojwa wake inamhitaji kulazimisha furaha isiyokuwepo ili kumpunguzia stress!
 
yupo vizuri, alikuwa anajibu maswali ya mbunge wa singida magharibi kana kwamba ni mzoefu wa miaka zaidi ya kumi.
 
Shonja na mwenzie Mwampamba, majembe bora kabisa yaliyozaliwa Chadema......ila Chadema wakashindwa kuwakuza na kuwalea sababu ya kumlinda Mbowe.

Hongera Shonza ila jitahidi kujirekebisha kwenye lugha mama....
inakuathiri sana kwenye baadhi ya matamshi ya kiswahili fasaha.
hao waliuwa puppets wa CCM na wasaka vyeo. wamerudi nyumbani.
 
Tanzania kuna bunge?
Ni shit tu.
Watanzania daini katiba mpya ccm itoke vinginevyo mtapata tabu sana
Kwa akili yako ya kawaida tu CCM ikitoka nani akabidhiwe nchi DJ mbowe au la professor lipumba??
 
Bunge lilimalizika kipindi cha Sitta siku hizi ni Sehemu za vigodoro na mipasho!!!
 
"ganda la muwa la jana, chungu kaona kivuno"
 
Back
Top Bottom